Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
Mkuu ni kweli jamaa kiasi fulani ame cross boundary, lakini ni nafuu huyu hata akivua shati anaonekana ni mtu wa mazoezi. Hivi angekuwa yule mbunge yule mkuu wa TOT, nanihii yule...mnamjua, ana tumbo za bia ingekuwaje?
Msamehe Mnyaturu huyo..
Wewe nawe!!!!hata kama ubunge una heshima yake,kwani Mbunge anapovua shati kwa lengo la kuonesha furaha yake(bila kufanya mambo mengine ya ajabu)anakuwa kakosa heshima???,mbona mara kibao Timu yao ya wabunge inapocheza baadhi ya wabunge huchojoa tu mashati kwa lengo la kushangilia ama wanapobadilisha wachezaji ama hata baada ya mechi..Hata hivyo MO hana kitambu so mwache ajiachie mwanawane..Heshima mbele mkuu...Be blessed
Ukisoma hii sentensi katikati ya mistari utagundua jinsi gani watanzania tulivyo na roho za "kwa nini".
Hii line ya "unapofanya....... ndio tukujue kuwa wewe ni...... sanaa/saana," inatumika sana miongoni mwetu.
.....aaachaa wewee!!, 'Wak-ulu' wanavuliwa magwanda yalojaa medani na nembo kibao,zinavuliwa tai na suti tena sehemu za ajabuX2 tu,alafu unadhubutu kuzungumzia Heshima???...Ubunge una heshima yake. Unapovua shati kwenye kadamnasi na kuruka ruka tumbo wazi ndio tukujue kuwa wewe ni mzalendo sanaa, ama?? You must hand it to him, though. The guy knows how to hog some cheap publicity from unsuspecting Bongomites!!
Kuna wakati alipelekeshana sana na Z.Meghji alipokuwa Waziri wa afya wati wa Mzee Ruksa pale MeTL walipoingiza Ngano ambao haufai kwa matumizi ya binadamu. Dewji alimvimbia pale alipokataa kuteketeza ngano hiyo Zakia Meghji akasema kama haitateketezwa basi atajiuzulu uwaziri, ngoma ilikuwa tamu hatimaye Dewji akanywea na ngano ikateketezwa
Kama ni hivyo mbona hakukamatwa na Bashite? Acheni utani wakuu.Duh...hii noma sasa,,kumbe 'MO' naye anauza drugs!!!!!!!!!!..anways lakini jamaa anapenda soka hasa,ni mnazi hasa wa kabumbu so hana budi kupongezwa kwa hili la kuwa msitari wa mbele katika uihamasisha timu yetu ya Taifa pamoja na kutoa misaada ya mara kwa mara ya hali na mali kwa stars...big up 'MO'
Is there something we are missing here or what?asinge uza drugs.. "Negro Please!"
wazungu wa unga labda.πBADO WAZUNGU HAWAJAMUACHIA?
Hapana WAZUNGU WAGENI WALIOVALIA MASK MKUU.wazungu wa unga labda.π