Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

Zuwena fc mnawachezaji wenye quality ndogo mno.
Ukimtoa chama hakuna mchezaji wenu anaeweza ingia kwenye kikosi chakwanza cha Yanga.
 
Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya. Halafu MASHABIKI mbumbumbu wanamtupia KOCHA LAWAMA.

Simba Ina wachezaji WATANO TU. Inonga, Chama, Saido, Manula, Kapombe na Shabalala .

WACHEZAJI MIZIGO WENGI MNO.
Kanute, Banda, Ottara, Okwa, Onyango Umri, Sawadogo, Baleke.

WAZAWA.
Nyoni, Boko, KIBU, Kapama, Mkude, , Gadiel Michael, KYOMBO, nk....

Imagine una kiungo MZAMIRU na kanute, ucheze na Mamelodi!!!??
Viungo wasiojua position Yao.
Viungo wasiojua kupiga pass.
Viungo wasiopiga mashuti.
Wasioweza pass za mwisho nk.

Yanga Ina kiungo
BANGALA NA AUCHO top top top players.
Wachezaji WAKUBWA mno.

FISTON MAYERE MMOJA NI SAWA NA PHILI, BALEKE,BOKO ,KYOMBO, KIBU NK.

MO ANAIHUJUMU SANA SIMBA.
KOCHA ASIGUSWE KABISA
Kasema wapi

Nisaidie link please
 
Bado hajawa serious kuwekeza ktk kununua wachezaji wa maana
Timu zetu zinasubiri wachezaji waliohuru washamaliza mikataba

Asante kaka.

Hii ndio michango ya Great thinkers.

Wengi Huwa wanakurupukia Uzi bila kuelewa.

Wengi wetu uelewa upo chini sana.
Mungu Atusaidie
 
Ligi ya losers ndio ilimfanya inonga alie kilio cha aibu.

Asante kwa Mchango mzuri kaka.
Hawa WAJINGA wa humu.

Wanadhani ubora wa LIGI ndio Qulity ya mchezaji.
Mchezaji ni kipaji na juhudi

Tuna VILAZA WENGI sana HUMU.
 
Ligi ya losers ndio ilimfanya inonga alie kilio cha aibu.
Leo ni siku ya wanawake Duniani... Wanawake wakiwezeshwa wanaweza.... Leo ni siku ya Utopolo, na wanacheza Leo kwenye siku yao
 
Alipokuwa hayupo Simba ilikuwa inatembeza bakuli na walisajili mchezaji gani wa maana?Chini yake Simba imechukua ubingwa mara 4 mfululizo.Kuchukua ubingwa wa FA na kucheza makundi ya CAF miaka 4.
Simba kabla ya hapo ilikuwa na maendeleo gani?Wanaompinga ni waganga njaa waliokosa fursa ya kuifanya Simba mradi wao.
Wengine ni wapinzani wa Simba wasiopenda maendeleo ya Simba.

Kumbuka hapo Simba haikuwa na Muwekezaji.

Sasa Muwekezaji Amekuja Alafu anafunga unga.

Nani asiyejua Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao.

1.Lobi Manzoki
2. Semanga sonze.
3. Bambala.
4. Azizi ki.
5. Victoria Adebayor.
6. Oddu.
7.Aucho.
Nakadhalika.

Huyu ni tajiri au mbabaishaji????
 
Tunacho hitaji ni usajili wa wachezaji wa maana..
Ambao tunaweza kusema wanaweza kupambana nusa fainal hata fainal ya Caf Champion league
 
Akashindwa kucheza mpira ktk league ya wakubwa na kuangukia league ya losers.

LIGI haiamui Ubora wa mchezaji.

Siwezi hata KUKUJIBU.

Umekaa ki shabiki zaidi kuliko utaalam, fact, na kujifunza.

Endelea na USHABIKI wako
 
Kumbuka hapo Simba haikuwa na Muwekezaji.

Sasa Muwekezaji Amekuja Alafu anafunga unga.

Nani asiyejua Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao.

1.Lobi Manzoki
2. Semanga sonze.
3. Bambala.
4. Azizi ki.
5. Victoria Adebayor.
6. Oddu.
7.Aucho.
Nakadhalika.

Huyu ni tajiri au mbabaishaji????
Asa yeye anahusika nini?
Akitoa pesa ni kwa kupenda, hafungwi kutoa hizo pesa.
Nilidhani Mo anapaswa kuchukua hela Simba nashangaa mnasema atoe tena.
 
Kila siku nasema Mayele anacheza mpira, hao kina baleke na phiri wanachezea mpira.

Mayele ni Top Quality.
Yanga wapo serios na kazi.

Yanga Wana Quality.
Juma, lomalisa, Aucho, Bangala, Azizi.
Hawa ni wachezaji WAKUBWA sana
 
Zuwena fc mnawachezaji wenye quality ndogo mno.
Ukimtoa chama hakuna mchezaji wenu anaeweza ingia kwenye kikosi chakwanza cha Yanga.
Wachezaji wanaocheza CAFCL washindwe kupata namba kwenye kikosi kinachocheza kombe la losers ?

Aisee , ushabiki mwingine.......
 
Back
Top Bottom