Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya. Halafu MASHABIKI mbumbumbu wanamtupia KOCHA LAWAMA.

Simba Ina wachezaji WATANO TU. Inonga, Chama, Saido, Manula, Kapombe na Shabalala .

WACHEZAJI MIZIGO WENGI MNO.
Kanute, Banda, Ottara, Okwa, Onyango Umri, Sawadogo, Baleke.

WAZAWA.
Nyoni, Boko, KIBU, Kapama, Mkude, , Gadiel Michael, KYOMBO, nk....

Imagine una kiungo MZAMIRU na kanute, ucheze na Mamelodi!!!??
Viungo wasiojua position Yao.
Viungo wasiojua kupiga pass.
Viungo wasiopiga mashuti.
Wasioweza pass za mwisho nk.

Yanga Ina kiungo
BANGALA NA AUCHO top top top players.
Wachezaji WAKUBWA mno.

FISTON MAYERE MMOJA NI SAWA NA PHILI, BALEKE,BOKO ,KYOMBO, KIBU NK.

MO ANAIHUJUMU SANA SIMBA.
KOCHA ASIGUSWE KABISA
Hawa top top players walikuwa wapi wakati mnatolewa club bingwa?

Acheni wehu kaeni kwa kutulia kwa waume zenu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Halafu hao top players wanacheza losers league.Hii dunia ina maajabu.
Kwenye ligi ya Uingereza Man United walio kwenye form nzuri kapigwa 7 mtungi na Liverpool waliokuwa wana struggle.
Mpira ni sayansi sio somo rahisi kuelewa kama unaropoka tu kwa mapenzi.
kwanini inakuuma sana ukiambiwa ukweli? timu ni ya hovyo kubalini hilo na mjipange,Sasa utaona kivumbi kule Morocco,kama 5 hazijaingia sijui!
 
kwanini inakuuma sana ukiambiwa ukweli? timu ni ya hovyo kubalini hilo na mjipange,Sasa utaona kivumbi kule Morocco,kama 5 hazijaingia sijui!
Hatuangalii mechi moja, tunaangalia mechi zote 6 za makundi. Mwaka ule tulifungwa hizo tano tano mara mbili, lakini tukaingia robo fainali, na mmoja wa waliotupiga tano akaishia hapo hapo makundi nafasi ya tatu. Sasa sijui nani mjanja
 
Ligi ya losers ndio ilimfanya inonga alie kilio cha aibu.
Wakati huo Mayelee league ya losers anaitazama kwa TV.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
LIGI haiamui Ubora wa mchezaji.

Siwezi hata KUKUJIBU.

Umekaa ki shabiki zaidi kuliko utaalam, fact, na kujifunza.

Endelea na USHABIKI wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa utajibu nn wakati ukweli unaujua. Poleeeeh
 
Mayele ni Top Quality.
Yanga wapo serios na kazi.

Yanga Wana Quality.
Juma, lomalisa, Aucho, Bangala, Azizi.
Hawa ni wachezaji WAKUBWA sana
Wakashindwa kwa Al hilal na kuangukia kombe LA losers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui hiyo quality kwa Ruvu shooting tyuuh lol
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom