Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

Zuwena fc mnawachezaji wenye quality ndogo mno.
Ukimtoa chama hakuna mchezaji wenu anaeweza ingia kwenye kikosi chakwanza cha Yanga.
 
Kasema wapi

Nisaidie link please
 
Bado hajawa serious kuwekeza ktk kununua wachezaji wa maana
Timu zetu zinasubiri wachezaji waliohuru washamaliza mikataba

Asante kaka.

Hii ndio michango ya Great thinkers.

Wengi Huwa wanakurupukia Uzi bila kuelewa.

Wengi wetu uelewa upo chini sana.
Mungu Atusaidie
 
Ligi ya losers ndio ilimfanya inonga alie kilio cha aibu.

Asante kwa Mchango mzuri kaka.
Hawa WAJINGA wa humu.

Wanadhani ubora wa LIGI ndio Qulity ya mchezaji.
Mchezaji ni kipaji na juhudi

Tuna VILAZA WENGI sana HUMU.
 
Ligi ya losers ndio ilimfanya inonga alie kilio cha aibu.
Leo ni siku ya wanawake Duniani... Wanawake wakiwezeshwa wanaweza.... Leo ni siku ya Utopolo, na wanacheza Leo kwenye siku yao
 
kocha anapelekwa resi kumbe tatizo mmenunua wachezaji wa mafungu.
Wahindi huwa ni waonevu sana makazini.
 

Kumbuka hapo Simba haikuwa na Muwekezaji.

Sasa Muwekezaji Amekuja Alafu anafunga unga.

Nani asiyejua Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao.

1.Lobi Manzoki
2. Semanga sonze.
3. Bambala.
4. Azizi ki.
5. Victoria Adebayor.
6. Oddu.
7.Aucho.
Nakadhalika.

Huyu ni tajiri au mbabaishaji????
 

Tunacho hitaji ni usajili wa wachezaji wa maana..
Ambao tunaweza kusema wanaweza kupambana nusa fainal hata fainal ya Caf Champion league
 
Akashindwa kucheza mpira ktk league ya wakubwa na kuangukia league ya losers.

LIGI haiamui Ubora wa mchezaji.

Siwezi hata KUKUJIBU.

Umekaa ki shabiki zaidi kuliko utaalam, fact, na kujifunza.

Endelea na USHABIKI wako
 
Asa yeye anahusika nini?
Akitoa pesa ni kwa kupenda, hafungwi kutoa hizo pesa.
Nilidhani Mo anapaswa kuchukua hela Simba nashangaa mnasema atoe tena.
 
Kila siku nasema Mayele anacheza mpira, hao kina baleke na phiri wanachezea mpira.

Mayele ni Top Quality.
Yanga wapo serios na kazi.

Yanga Wana Quality.
Juma, lomalisa, Aucho, Bangala, Azizi.
Hawa ni wachezaji WAKUBWA sana
 
Zuwena fc mnawachezaji wenye quality ndogo mno.
Ukimtoa chama hakuna mchezaji wenu anaeweza ingia kwenye kikosi chakwanza cha Yanga.
Wachezaji wanaocheza CAFCL washindwe kupata namba kwenye kikosi kinachocheza kombe la losers ?

Aisee , ushabiki mwingine.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…