Mohamed Dewji acha kuwabebesha makocha lawama

Hawa top top players walikuwa wapi wakati mnatolewa club bingwa?

Acheni wehu kaeni kwa kutulia kwa waume zenu
 
Reactions: Tui
kwanini inakuuma sana ukiambiwa ukweli? timu ni ya hovyo kubalini hilo na mjipange,Sasa utaona kivumbi kule Morocco,kama 5 hazijaingia sijui!
 
kwanini inakuuma sana ukiambiwa ukweli? timu ni ya hovyo kubalini hilo na mjipange,Sasa utaona kivumbi kule Morocco,kama 5 hazijaingia sijui!
Hatuangalii mechi moja, tunaangalia mechi zote 6 za makundi. Mwaka ule tulifungwa hizo tano tano mara mbili, lakini tukaingia robo fainali, na mmoja wa waliotupiga tano akaishia hapo hapo makundi nafasi ya tatu. Sasa sijui nani mjanja
 
Ligi ya losers ndio ilimfanya inonga alie kilio cha aibu.
Wakati huo Mayelee league ya losers anaitazama kwa TV.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
LIGI haiamui Ubora wa mchezaji.

Siwezi hata KUKUJIBU.

Umekaa ki shabiki zaidi kuliko utaalam, fact, na kujifunza.

Endelea na USHABIKI wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa utajibu nn wakati ukweli unaujua. Poleeeeh
 
Mayele ni Top Quality.
Yanga wapo serios na kazi.

Yanga Wana Quality.
Juma, lomalisa, Aucho, Bangala, Azizi.
Hawa ni wachezaji WAKUBWA sana
Wakashindwa kwa Al hilal na kuangukia kombe LA losers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui hiyo quality kwa Ruvu shooting tyuuh lol
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…