bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Ni wazo zuri..kinachohitajika ni elimu kwa members na mashabiki..wakielomika watakubali na wataenfelea kuipenda Simba kama vile ManU etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bujibuji unabubujika uchawi Wa gamboshiilikuwa haiamini uchawi... anaitaka Simba kwa Kuwa wamebobea Kwenye makafara ya damu za watu
miaka 75 timu haina hata uwanja wa maonyesho?ningekua mimi ningempatia hiyo timu bure ila kwa sharti lakutobadilisha jina la timu.mi shabiki wa simba ila sioni mipango endelevu tena pale.ila najua kuna watu maisha yao wanaendesha kupitia simba hivyo sidhani kama watakubali imilikiwe na mtu mmoja.
Ile timu haikuwahi kuwa yake, alikuwa mfadhili na kutokana na viongozi vilaza kuona anafaidi akawaachia timu yao ikawashinda ikafia mbali.......ile timu yake ya singida ilimshinda nini??
Nyani anapokosa kuona kundule..miaka 75 timu haina hata uwanja wa maonyesho?
Ndo wanaodidimiza soka kwa njaa zao.... ila akitaka awaweke kwenye mipango yake kama Manji alivyowakamata akina Akilimali..Wale wazee wanaovaa kofia watakataa,na watasikilizwa.