Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Hata kama Mo amepatikana bado kama wananchi tunahitaji taarifa kamili kuhuhsu huu uhunu unaoendelea NCHI hii.IGP anapaswa kutueleza ukweli.
 
Hao watekaji wanajiamini sana walimtekea karibu na makao makuu ya usalama wa taifa jiran na kwa makamu wa rais halafu wamekuja kumtupa gymkhana karibu na ikulu hahahaha kweli yajayo yanafurahisha......na tusishangae watekaji wasitafutwe ila ataanza kutafutwa Zito
 
Baada ya Jana Yale maigizo mbele ya maiki nilijua tu what's next ilikua kumwachia tu jamaa coz the movie is a failure
Yeah , ndiyo maana nikasema iwapo yeye mwenyewe hatasema, basi na iwe kimya

Nimemjibu msemajiukweli kwani sasa hivi watu wanataka kuaminisha maneno mengine kama wao ndio Mo. Kuna hadithi zinatungwa, hizo hazitaondoa utata hadi atakaposema mwenyewe

Jambo jema karudi salama, hilo ndilo muhimu
 
Habari njema kabisa hii, na shukrani kwa wote waliofanikisha hii movement, japo kuna wengine wanatamani isiwengekuwa hivyo. Ingependeza sana hata kwa wale waliopotea siku nyingi familia zao zikashtikizwa usiku wa manane wakigonga mlango wakirudi home!

Let tarehe 20, au like tishio la kusisha shughuli za MOeTL limesaidia??!!!!
 
Acha uongo, waliomchukuwa wanafahamika. Yaleyale ya Roma. Mbona baada ya Polisi kumhoji Roma faili likafungwa badala ya jushika kasi ili kukomesha hayo yasiendelee?
Yule ilikuwa atapatikana jumapili na akapatikana. Huyu tunajuwa alichukuliwa na gari Hilux picha hizi walifika mpaka Kawe, kesho yake huyo!
Kwa hiyo hoja yako ni nini?

Nilichosoma maelezo ya hisia zako ambazo mtu mwenye fikra pana hawezi kupoteza muda na kuanza kuzichambua. Elewa kuwa Mimi sio polisi.

Kama unachojua ni uongo, kwa nini unapoteza muda wako?
 
Natumaini Billion 1 inaenda kwa Jeshi la Polisi. Au inaenda kwa Lema na Zitto
 
Tafuta wenye fikra kiduchu kama zako ili muweze kubadilishana ujinga!
Inashangaza sana anayejitapa mwerevu kuhangaika na wajinga, huo si ni ujinga zaidi?
Samahani kama nimekukwaza lakini ni vizuri ukaelewa kuwa uwezo wako ni mdogo sana katika kujenga hoja na kuchanganua masuala yanayohitaji fikra pana.
Huwezi kunikwaza mimi, unajikwaza mwenyewe na ujinga wako

Kwa nini usiwe una quote wenye fikra pana kama wewe na kuacha wenye fikra kiduchu?

Kitendo hicho kinadhirisha huna fikra pana kwa sababu umeshindwa kubaini, mwenye fikra pana na asiye na fikra pana ili ujadiliane naye.
 
Aisee....acha niendelee kulima tu,hii ndo Tanzania
 
Back
Top Bottom