Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mo kuna mambo anaogopa kuyasema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatakujibu hilo swali mkuuMasharti hayo yanawekwa na nani? Mlipaji au anayedai? Hebu tuondelee ujinga wako hapa!
Nani aliyewahi kuzungumza yaliyomsibu hapo kabla? Miongoni mwa wote waliowahi kufanyiwa umafia nchi hii, ni nani aliyewahi kuzungumza? Au hawakuzungumza kwa sababu walilipa ransom?
Hiyo ni hoja yako na wana-Lumumba wenzako pamoja na genge lote la wahalifu kama wale ambao waliwahi hadi kuvamia studio! Hoja iliyo mbele ya wananchi ni je, baada ya kutoweka Ben Saanane na hatimae Mwandishi wa Mwananchi, kisha kutoweka kwa ROMA na baadae kuja kupatikana kabla hajatoweka Mo Dewji na kufuatiwa na drama za Kamanda Sirro; WHO'S NEXT! Usitake kuaminisha watu kwamba utekaji kwa sasa unalenga matajiri wakati utekaji nchi hii hivi sasa unaelekea kuwa ni jambo la kawida! WHO NEXT?
Umejuaje kwamba huko kusini mwa Afrika huwa wanateka matajiro for ransom wakati umeshasema masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio lolote?
Acha uongo, waliomchukuwa wanafahamika. Yaleyale ya Roma. Mbona baada ya Polisi kumhoji Roma faili likafungwa badala ya jushika kasi ili kukomesha hayo yasiendelee?Hii inaonyesha familia wamelipa ransom!
Moja ya masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio lote!
Kama atazungumza kuhusu yaliyomsibu mpaka akarudi basi hiyo itaonyesha kuwa hakulipa ransom na hakuna makubaliano.
Hoja iliyopo mbele yetu kwa sasa, Je, kama amelipa ransom, nini kwa sasa nafasi ya matajiri nchini kuhusiana na usalama wao kwa sababu kulipa ransom ni kufungua mlango wa biashara ya kidnapping and ransom nchini kwa matajiri.
Kosa la kulipa ransom baada ya kutekwa ambalo nchi za kusini mwa Afrika kama Afrika Kusini na Msumbiji walilianza kwa matajiri ndilo kwa sasa linazidi kuwatafuta kwa kasi zaidi.
Je, kuna uwezekano na Tanzania tukaelekea ambako nchi za kusini mwa Afrika ziliko kwenye biashara ya kidnapping and ransom?
Apatikana saa nane na asroyjambo la kushukuru kuwa kapatikana akiwa salama.
Chadema issue imekwisha mta ongea nini tena mikarai ya matukio
Huo ni ujinga wakpKumbe MO Ni maarufu Kuliko Chadema
Wenzenu kina nan?unaipa hongera kwa usanii? Wao wanajua alipokuwepo! Tz imekuwa Nchi ya ajabu Sana sasa hivi tunasemwa vibaya na wenzetu. Ukipita mtaani au mghahawa wanaonifahamu wanauliza maswali ya ajabu!
bora afanye hivyo ... shenzi zao Sana hawaDah,lazima atahama Tanzania Huyu.
Acha uongo, waliomchukuwa wanafahamika. Yaleyale ya Roma. Mbona baada ya Polisi kumhoji Roma faili likafungwa badala ya jushika kasi ili kukomesha hayo yasiendelee?
Yule ilikuwa atapatikana jumapili na akapatikana. Huyu tunajuwa alichukuliwa na gari Hilux picha hizi walifika mpaka Kawe, kesho yake huyo!
Kwa hiyo walimteka karibu na kwa Mama Samia makamu wa raisi wamemuachia karibu na ikulu 😂😂😂🙌🙌🙌 af jiwe unajua sisi sio mazuzu aisee
Yeah , ndiyo maana nikasema iwapo yeye mwenyewe hatasema, basi na iwe kimyaHawez kueleza chochote kuhusu watekaji forget it kama unategemea mo ajitokeze kuzungmzia utekaji wake just sleep