Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Paskali, Polisi wetu tunawapongeza sana ila hakuna haja ya hiyo hela.. Plz.. Maneno mengine yataanza trust me..!!
 
Yaani kelele za Lema ziwe msingi wa kupatikana Dewji lakini kelele hizo hizo zisiweze kumleta Ben Saanane? You must be joking!

Nani mwenye uhusiano wa karibu kikazi na kimaisha kati ya Lema na Ben Saanene au Dewji?

Kumbuka Ben Saanane alikuwa mfanyakazi wa CHADEMA

Ulichofanya ni kutoa shukrani ambazo hazina hata ukweli kifikra!
Acha wivu. Ni kipi wewe ulichofanya kikasaidia Mo kupatikana. Kama Lema amekuwa na ujasiri wa kujitokeza hadharani na kulipigia kelele hili swala mpaka akapatikana, Kwanini Lema Asipongezwe??? Kwenye suala la uhai wa mtanzania mwenzako hakuna uhusiano wa karibu wala wa mbali wala wa katikati.
 
Yaani kelele za Lema ziwe msingi wa kupatikana Dewji lakini kelele hizo hizo zisiweze kumleta Ben Saanane? You must be joking!

Nani mwenye uhusiano wa karibu kikazi na kimaisha kati ya Lema na Ben Saanene au Dewji?

Kumbuka Ben Saanane alikuwa mfanyakazi wa CHADEMA

Ulichofanya ni kutoa shukrani ambazo hazina hata ukweli kifikra!
Well said walahi
Mapunguani hawa makarai walahi
 
Tatizo ni script Writers, wengi kutoka Bongo Movies ndio maana hadithi za matukio imekalia kibongo movie. Yaani siku ambayo gari linalotafutwa nchi nzima lichukue dakika 15 kufika Karemjee bila ya kuonekana Taire Ndamarfali.
Au lugha moja na lafdhi ya kiafrika kusini mimi nafikiri ikiwa hujapata kukisikia kisukuma huwezi kitafautisha na kizulu. Nakwambia hata kingazija kama hukijui utasema kixhasa kwezi, ngaliwa mnono Yaani kama ile hadithi ya kifaru “Faru John”, aliejinyonga kwa vile kifaru wa kike alikuwa hamtaki si mnakumbuka alivyopotea.
Yote ni kwa sababu ya nguvu ya umma kusema hapana arudi tu, kutekana iwe mwisho. Welcome back Mo, utalosema lolote kwetu utabaki hero na victim. Iko siku ukweli utasimama.
“Pseudologia fantastica and mythomania”
 
Nasikia Mo siku zote alikuwa anacheza Gofu pale GYMKHANA
 
Hahahaha, anamshukuru Rais kwa lipi? Maana wakati Sirro anatoa taarifa ikulu walikuwa wanahost taifa stars..., kuna hidden message hapo, lazima kuna sababu ya kumshukuru
Yani kama yesu alivyoagiza ukipigwa hili Mpe na lingine kuna MTU ukimsifia anahisi yupo mbinguni.. Kama Greek mythology kuwa miungu ukiisifia ndo inapata nguvu
 
Kama siyo sheria za Jf leo jiwe angekula matusi yote duniani. Serikali hii ni ya ajabu sana sana. Kwanini Mungu asiifutilie mbali?
 
Back
Top Bottom