silver_back
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 833
- 813
Mo kapatikana kwa shinikizo la public cry, upinzani hawana mchango kabisa katika hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia nikaribu na Ofisi za Usalama GSO
Acha wivu. Ni kipi wewe ulichofanya kikasaidia Mo kupatikana. Kama Lema amekuwa na ujasiri wa kujitokeza hadharani na kulipigia kelele hili swala mpaka akapatikana, Kwanini Lema Asipongezwe??? Kwenye suala la uhai wa mtanzania mwenzako hakuna uhusiano wa karibu wala wa mbali wala wa katikati.
Kama Ni hivyo Lema si apige Press release nyingine kina Kubenea na Anthony Komu nao wamuachie Ben Sanane
Historia imeandikwa Tz kutoa rais .......Li chadrama ni lichama la kukurupuka la matukio, aibu kubwa kwake walahi
Sasa aende akabwabwaje tena, TOTAL SHAME ON YOU PEOPLE WALAHI
MAMA TANZANIA ATAWANYOSHA TU WALAHI
HATA SISI TUNASHANGAA KWANINI BEN SAA 8 MLIMCHUKUWA MAZIMADah.. Aisee yani wewe kila kitu ni kufagilia upinzani! Unatia kinyaa..
Kama unafikiri selikali ndio inahusika na imewaogopa hao wapinzani, mbona Ben bado hajarudi na kila siku mnapiga makelele?
Vipi MV Nyerere na wahanga wake, mchango wenu ulikuwa ni upi? Walipoteza maisha watu zaidi ya 150.Tangu kutekwa kwa Mo Dewji, ni wapinzani kwa kushirikiana na watanzania wengine ndio waliokuwa wamesimama mstari wa mbele kupaza sauti kutaka MO apatikane huku watu wa upande fulani karibu wote wakiwa kimya zaidi ya ku-tweeet tu kusikitishwa na tukio hilo.
Mnaoshabikia upinzani ufe tukio hili liwafumbue macho na mjiulize ingekuwaje kama wote tungekuwa wa chama kimoja kama mnavyotaka.
Waliobuni mfumo wa vyama vingi hawakuwa wajinga hivyo na nyinyi mnaotaka turudi katika huo mfumo muache kuwa wajinga.
Wewe unachowaza ni uchaguzi tu.Kwahiyo hili nali litasababisha chadema kuishinda ccm hapo 2020?
tundulisu kasema NISSAN NYEUPE no. ###'x mbona mpakaleo mmelala kwa Mo mmejua mpaka wazungu wanaongea kisouziZuzu ni mtu kama wewe unayelazimisha kusema katekwa na serikali wakati yeye anaishukuru! Tena zuzu kweli kweli! Wako walicharangwa na risasi mwili mzima na bado hawakuogopa sembuse yeye?
Nawe mwombe mungu wako akupe pesa sio kukaa mitandaoni na kuitukana nchi yako walahiNi upepo na pia aliyetekwa ni tofauti kabisa na kina ben saanane. No offense to them, na wao ni binadamu ila tuwe wakweli, Mo ni ligi nyingine. Mtekaji lazima uwe na hofu maana nchi nzima ilisimama na dunia pia ilimulika.
Nawe mwombe mungu wako akupe pesa sio kukaa mitandaoni na kuitukana nchi yako walahi