Huku akiwa na simu ya kupigia nduguze?Ameachiwa Saa Tisa na dakika kumi na tano Usiku
Sasa ndiyo hicho kilichanifanya niseme wewe ni zuzu! Kwa kifupi unajikaanga kwa mafuta yako! Hoja yangu ni hii: Kama Lissu aliumizwa kiasi kile na akawa na ujasiri wa kuituhumu serikali (bila kujali tuhuma zake ni za kweli au la) ni nini kinachomfanya MO aogope kusema ukweli? Kulingana na maelezo ya awali ameishukuru serikali kwa kupatikana kwake. Kwanini ninyi mnang'ang'ania kuishutumu serikali?tundulisu kasema NISSAN NYEUPE no. ###'x mbona mpakaleo mmelala kwa Mo mmejua mpaka wazungu wanaongea kisouzi
Mkuu umejuaje walitembea nae huko msasani mpaka kawe?Gymkana pale karibu na Ikulu, Gymkana karibu na Agakhan hospital. Gymkana pale karibu na Upanga Seaview. Kiujumla eneo lile ni very sensitive sana kwa mtu kufanya Ujinga. Yaani watekaji wanamteka mtu Oysterbay/Masaki wanatembea nae msasani yote, mpaka kawe na leo wanamrudisha mpaka Gymkana..
Halafu Mkuu mmoja anasema nchi iko salama, vipi kule Tandika, Mbagala, Manzese, Mtoni, Mbezi, Mbalizi, Tunduma, kyerwa, Tukuyu watakuwa salama kweli kama mtu anatekwa sensitive area halafu watekaje wanamrudisha sensitive area..Kichwa kinauma kwakweli.
Kwa hiyo unalipongeza jeshi LA polisi kwa kumrudisha moPongezi ni kwa jeshi la police Kwani kelele zake zimesaidia nini??Waliotekwa wote hakupiga kelele????? Na mbona bado hawajapatikana???? Nalipongeza kwa sababu MO amepatikana na binafsi niipongeze family ya MO kwa kutoa taarifa mapema Sana baada ya kijana wao kutekwa, yawezekana pia na hao wengine Kama taarifa zingetolewa mapema kungekuwa na nafasi kubwa ya kupatikana.mbinu ni hizi hizi kwanza zuia mipaka na Fanya upekuzi wa vyombo vyote vya usafiri majini na nchi kavu.
Yaan hawa majamaa ni mishamba kweli kweli halafu zero brain, hii staili waliyotumia kumteka mo ni ya kitoto sanaYaani eti waliomteka wamrudishe nyumbani wao wenyewe hawaogopi kudakwa na vijana wa Siro?, Au Mo katembea kwa miguu kutoka alipokuwa ametekwa, tena usiku wa manane mpaka nyumbani kwao?
Hahahah inachekesha sana hii tamthiliya ila ukifikiria inasikitisha sana!.
Ukiwa Gangster basi uwe angalau Smart!. Zero in papers translates Zero in missions!!
Jaribu kufanya research kabla ya kuuliza! Maelezo yako kila sehemu jinsi alivyoweza kuwasiliana na ndugu zake.Huku akiwa na simu ya kupigia nduguze?
Si wamesema walikuwa wanaongea luga za kisauzi.MO anajua Kizulu?
Nilikuwa sijawahi kulisikia na sikujua hilo eneo(Gymkhana) lilipo.
Baada ya kupata taarifa hizi nikaingia gopgle map kuona lililopo, nikabakia mdomo wazi....
Unapinga taarifa ya Mambosasa?!Gari sio yenyewe mkuu angalia picha vizuri zile za mwanzo na za sasa.
Na wewe kila siku chadema hata kama mada haihusu,kuwa makini wanaweza wasije kumalizia mahali.Chadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuna.
Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!
Pole sana ila umeonyesha hauna ubinadamu, nilichojifunza kwako kumbe humu JF tunaweza kuwa tunajadiliana na watekaji wenyewe na wasiojulikana wenyewe.
Baada ya mo kupatikana ndio mnaanza kusema ni mwanaccm mwenzenu, Lumumba wenzako kina Barbarosa, ISIS, kina Elitwege walikuwa wakishangilia kutekwa kwake.Wee bavicha, kwa taarifa yako Mo ni mwanachama wa ccm tena mwanachama hai. Na serikali ya ccm ndio ilikuwa bize kumtafuta huku chadema wakikesha kuomba asipatikane ili wapate kiki. Toka lini chadema ikamtakia mwanaccm mema?
Ni kweli mkuu eneo husika na ulinzi wa kutosha na askari wa patrol kila mara wanapita. Maswali magumu yanajibiwa na majibu mepesi sanaNilikuwa sijawahi kulisikia na sikujua hilo eneo(Gymkhana) lilipo.
Baada ya kupata taarifa hizi nikaingia gopgle map kuona lililopo, nikabakia mdomo wazi....
We bilionea wa JF hawana time na wewe.Naona mchezo wa kutueka mabilionea umeanza nchi hii.
Dawa ni kuanza kutembea na berreta ikiwa full loaded tu muda wote