silver_back
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 833
- 813
Kuna Press leo saa 8 mchana ya Sirro i think tutasikia mengine tusiyoyajua.
Unataka kutuambia waliomteka kabla yakufanya hivyo hawakutingisha Dishi pale jumba jeupe? namba moja anavyopenda kutukuzwa ingekuwa hakushirikishwa B4 hata jua lisingezama angeshapatikana na TV zote zingekuwa live akionekana kuliongelea jambo hiloMimi nafikiri wako sahihi kwa mazingira ya utekaji ulivyokuwa bila Magufuli kuingilia kati wasingemwachia.
amepata tabu sanaaa,kufikisha hii taarifa.Hii video inazungumza kila kitu.Wenye akili tumeelewa.Kuanzia sauti ya Mambosasa hadi sura ya Mo!The message is there.
Nawahurumia askari wetu wana pressure kubwa sana awamu hii.
Pole sana kamanda Mambosasa.Sura na sauti yako vinazungumza hapo.Pole baba.Ukitoka hapo piga zako laga mbili tatu ulale.Wananchi tumeona.Umetuonyesha Mo wetu.Nawe pia wakwetu.Sura yako hapo imeonyesha.Mie sitakulaumu.Niseme tu thank you Kamanda.
Asante kwa kutambua hilo.Kutembea na ilani ni ushamba wa madaraka, katibu wenu mkuu alisema si kila kilichoandikwa humo kinatekelezeka kuna mengi mazuri hayaandikwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Bora babako angepiga nyeto hiyo siku mimba yako ilivyotungwa...
Ulitaka Hamshukuru Lema?
Rubbish.Kwaiyo Toyota surf zilizuiwa kutembea mjini? Au zote zilikuwa zinakaguliwa kila wakati zinapotembea? Watekaji walikuwa naakili Sana. Kwa kumrudisha MO na gari ileile wamepoteza ushahidi mwingine muhimu.
[emoji16][emoji16][emoji16] ukiwa mshabiki wa muuaji bwanaHaha bavicha bwana hivi ni kelele ndio zimemtafuta mpaka akapatikana?
Jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola vimedhibitisha weledi wake.
Sio kila jambo mnalilia wachunguzi wa kimataifa.
Chadema mnekuwepo wakati wa vita vya Idd amini si ajabu pia mngeshauri wachunguzi wa kimataifa waje kutusaidia.