Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Jibu unalo mwenyeweKwa hiyo ina maana sio polisi waliompata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu unalo mwenyeweKwa hiyo ina maana sio polisi waliompata
Kwaiyo Toyota surf zilizuiwa kutembea mjini? Au zote zilikuwa zinakaguliwa kila wakati zinapotembea? Watekaji walikuwa naakili Sana. Kwa kumrudisha MO na gari ileile wamepoteza ushahidi mwingine muhimu.Namnukuu Matola
"Ina maana wewe hujui mtekaji ni nani? Pole
sana.
Hivi kwa akili yako baada ya IGP kutoa picha ya
Toyota surf unaweza kusubutu kwenda na
Toyota surf karibu na ikulu?
Mo ametekwa prime area na amerudishwa
prime area, hata kama wewe ni mfia chama
jaribu kuvaa ubinadamu ingawa maccm yote ni
bora hata ukutane na chui aliyeshiba."
Ndugu wanabodi,
Ukiiangalia press ya IGP kisha ukaangalia majigambo ya Mambosasa akinesha gari iliyotajwa na IGP kuwa imepatikana na MO akiwa salama kabisa lazima utagundua kuwa kuna picha imechezwa hapa
Lakini yote kwa yote tumshukuru Mungu MO kapatikana salama
Aksante.
Aibu zimewashuka wanaCCM.
Hapana hujaelewa vizuri mkuu. Gari limevuka mpaka mara 3. Yaani kwa kuingia, kwa kutoka likiwa na Mo, na kuingia tena likiwa na Mo. Yaani hatutapa watekaji wenye huruma kama hawa. Walivuka na Gari hadi Msumbiji ah! Sijui Kenya halafu wamemrudisha Mo na Gari wakatuachia. Fantastic.
Labda rais alichangia kwenye 1bil.ransom, si unajua tena mzee baba kwa kuchangia. Au aliwaelekeza wasiojulikana washushe dau maana naskia walikuwa wanahitaji utirioniKauli ya kumshukuru tu mheshimiwa rais mm ndo inanipa shida sana aisee,
Kwann amshukuru rais? Wakati watekaji walimchukua na wamemwachia bila nguvu yeyote kutumika
Shukrani kwa raisi ni za nn hasa?
Hahaha beba box achana na mambo ya MoTulia wewee mlimbwende
Kamati kuu ya Chadema ili wahoji Watekaji then ikawapa Karipio
Muulize YericKo atakutajia Wabunge wa Chadema wenye tabia Za kuteka wenzao
...become...Tz has became a land of gangsters,..
hao ni mataahira mkuu wamevuka kipengele cha ujinga.Nyie mmeshashindikana kwa ujinga.
Bado kidogo mtasema alitekwa na hao Chadema.
Ushahidi gani!?Kwaiyo Toyota surf zilizuiwa kutembea mjini? Au zote zilikuwa zinakaguliwa kila wakati zinapotembea? Watekaji walikuwa naakili Sana. Kwa kumrudisha MO na gari ileile wamepoteza ushahidi mwingine muhimu.
Hivi South Africa kuna lafudhi ngapi, wanatofautiana na eswatini? Lesotho? Zimbabwe? Makaburu? Wa Xhosa? Wazulu?Hii Movie ni Professional rubbish
Ni ya kitoto sana Upuuzi na Upumbavu
Nimekuelewa. Kwa kuwa walishazingirwa, maana yake walishajulikana walipo. Tusubiri vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikiwapafikisha katika Mahakama ya Kisutu.Tulia unaonekana unachemka sana.
Vile Vishindo tu vya Jeshi letu la Polisi, vimewafanya watekaji washindwe cha kufanya zaidi ya kusalenda.
Walikuwa wamezingirwa pande zote na hawana cha kufanya, hata kudai pesa walishindwa. Watadai kwa njia gani ?
Watalipwaje ?
Hawakuwa na namna zaidi ya kumwachia
Wangi mmeuangalia huu utekaji kirahisi sana.
Haikuwa rahisi hivyo.
Zakaria aliwashtukiza kitu cha moto.Hebu subir hapo hapo alipiga simu! Kwa hiyo walimpa na simu apige au alipata simu kwa msamaria mwema? Sasa huyo aliyempa simu ndo ana claim hiyo Billion au? Pia hilo gari lilimtokea walisema lishavuka mpaka! Tena leo tunaliona! Hawa wanatuona mazwazwa kabisa, haya tuleteeni hiyo cctv shootage maana jana mzee wa sisitiv alijaribu kuficha pic la gari lkn bado watu wakamzidi akili! Na ndo maana hawakusema rangi ya gari wala habari ya noah hawataki tusikie!
All in all nina furaha tajir karudi sasa kifuatacho ni kuwa zakaria tuu maana washa turuhusu kumiliki silaha.