Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Yapo maswali muhimu ambayo tunataka Jeshi letu la Polisi ziyajibu

Je aliachiwa mahali gani, na aliwezaje kufikia nyumbani kwake wakati hakuwa na gari??

Je wale waliomteka Mo na kukaa naye zaidi ya wiki moja, walikuwa naye wapi??

Tuliambiwa na Kamanda Mambosasa na Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kuwa waliomteka walikuwa wazungu wawili

Taarifa tuliyopata baada ya kurejeshwa Mo tunaambiwa kuwa watekaji hao walikuwa wakiongea lugha moja ya South Africa, ina maana kuwa taarifa tuliyopewa na Kamanda Mambosasa na ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda, hazikuwa sahihi??
 
lengo la watekaji ni kitendawili..
who is next na hawa magaidi bado wapo mjini na vyombo vya ulinzi na usalama uwezo wao juu ya hawa magaidi umefikia mwisho, wanaonekana ni wajanja kuliko hivi vyombo vya kidumu chama cha fisiemu..
 
Kwani walisema ni lazima itoke hyo bilioni moja? Si Moo meenyewe ndio kapiga simu kwani ilikuwa ni simu ya polisi? Mbona nasikia hyo simu alipewa na watekaj wake waungwana
Watekaji wapole, waungwana wale, wanamuuliza mateka wao utakula bilian au kachor? Dawa ya meno Whitedent au Mo Dent? Swali la mwisho aliloulizwa unataka tukurudishe asubuhi au usiku?
 
Kwani Lugola aliongea kama mwanaccm your doomed, tunataka mtuonyeshe ushiriki wa CCM kama chama.
Aliongea kama nani? Tena aliongea akiwa na KITABU CHAKE CHA KIJANI PEMBENI KINACHOMPA DIRA. Licha ya kuwa 'akili kubwa' huoni aliongea kama nani pia? Unanisikitisha kamanda.
 
Tofauti ni kwamba Lisu ni jasiri na hana vimeo, Mo ana kashfa ya kuleta mchele mbovu na hakuna mfanyabiashara clean for 100%

Hawezi kushindana na serikali ataishia kuwa loser, yeye ana akili kuliko wewe matako.
Basi kama uliyoandika ni kweli... anastahili. Ukiona wewe ni mhalifu kiasi cha kuogopa kusema au kuripoti uhalifu unaowafanyiwa, basi unastahili.
 
Yaani eti waliomteka wamrudishe nyumbani wao wenyewe hawaogopi kudakwa na vijana wa Siro?, Au Mo katembea kwa miguu kutoka alipokuwa ametekwa, tena usiku wa manane mpaka nyumbani kwao?

Hahahah inachekesha sana hii tamthiliya ila ukifikiria inasikitisha sana!.

Ukiwa Gangster basi uwe angalau Smart!. Zero in papers translates Zero in missions!!
halafu bado walikuwa wanatumia gari lile ambalo linatafutwa na maeneo yenyewe nyeti karibu na jumba kuu!
 
Yani MO anaangalia chini kama mdada anayetongozwa na jamaa anaona aibu sijui haamini kama kaachiwa na jamaa aliokua anaonana nao kila siku aseee gari lililomteka iloilo limemrejesha hahahaaa police wote wakakimbilia nyumbn kwao MO kuhakikisha kama ni kwl wakashindwa wengine kwenda eneo la tukio labda wangepata taarifa zaidi za watekaji na hawa jamaa wanapesa sana wamesusa gari burebure tu hahahaaaaa next week litakua ofisini kwa bashite likitoa huduma serikali itasema imelitaifisha


Mwenye remote naomba utuekee series ya kikorea naona hizi za bongo zinaisha mapema sana bila utamu
 
Esther Sangai wa ITV ndiye mwanahabari hapa nchini pengine kuliko wote anayepajua Gymkhana
Kila nikiangalia ITV na hasa habari za michezo dada huyu hakosi kuripoti habari za michezo kutoka viwanja vya Gymkhana .

Kama leo angewahi kufika pale angejinyakulia kitita cha billion moja kwa kuwa wa kwanza kumwona ndugu yetu.
 
Watu mnalazimisha ku post hizi habari, maelezo na mtiririko wa thread tu yanaonyesha hii habari ni kubwa kuliko uwezo wenu wa akili, mnabadirisha maneno na kutengeneza kitu kipya ili kukipa ugumu hafu mnataka watu wachangie.
 
Nawaomea huruma sana hawa makamanda, wanachokifanya kinatesa sana nafsi zao.
Hii video inazungumza kila kitu.Wenye akili tumeelewa.Kuanzia sauti ya Mambosasa hadi sura ya Mo!The message is there.
Nawahurumia askari wetu wana pressure kubwa sana awamu hii.
Pole sana kamanda Mambosasa.Sura na sauti yako vinazungumza hapo.Pole baba.Ukitoka hapo piga zako laga mbili tatu ulale.Wananchi tumeona.Umetuonyesha Mo wetu.Nawe pia wakwetu.Sura yako hapo imeonyesha.Mie sitakulaumu.Niseme tu thank you Kamanda.
 
Husikii aibu?
Aibu gani sasa.
Mimi nimefulahi MO kapatikana na nimefulahi sana.
Hivi wange muuwa wewe ungefanyeje ?
Jeshi letu limesaidia kupatikana kwa MO.
Kama hutaki basi.
Mimi huku nasheherekea wewe bado umekasirika.
Pole sana ndugu yangu mpendwa.
 
Hicho kitu maamae yani ukipull the triggerr tu kitu kinakohoa paah paah pahh na kutema vitu vyenye ncha kali/butu vinavyoruka hewan kwa kas ya hatariiiii.

Haki ya nani mzungu hajakariri kasoma nakuelewa
We jamaa porojo sana kila kitu unàjua eti paah paah
 
Back
Top Bottom