Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mungu hausiki katika hili, acheni kumshirikisha Mungu kwa vitu vya kishamba.naungana na familia ya Mo kumshukuru Rais na jeshi la polisi kwakupatikana kwa kijana wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hausiki katika hili, acheni kumshirikisha Mungu kwa vitu vya kishamba.naungana na familia ya Mo kumshukuru Rais na jeshi la polisi kwakupatikana kwa kijana wao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu wangu Mikwara Ya Andunje
Naomba wasikuteke bilionea wangu
Maana wewe wadada wa jf tu washakuteka rafiki
Amemshukuru Rais kwa kumwachia au?Ata mimi imenichanganya kidogo ...nimekula magimbi yote apa sijapata jibu
Shukrani mkuu.CCTV Camera, kwa Mujibu wa kamanda Siro.. Watekaji walipofika maeneo ya kawe ndio wakakosa traces na wataanza searching ya appartment to apartment maeneo yale..
Kosa kubwa mnalofanya ni kusema sehemu x ina usalama na uhalifu hauwezi kutokea pale. Lakini wataalam wa uhalifu wanakuambia kwa wahalifu wazoefu maeneo kama hayo ndiyo mazuri na salama kwa ku operate shughuli zao. Mimi bado nahifadhi comments zangu kwanza mapaka nisikie kutoka kwa mtekwaji mwenyewe.Bila shaka pale Gymkhana unapajua, pia Colosseum hotel unapajua. Unataka kuniambia hao watekaji wananguvu ya kuteka mtu Oysterbay au Masaki na kumrudisha mtu mpaka pale Gymkhana bila hofu kabisa tena polisi na vyombo vya usalama viko kwenye tension ya kuwatafuta watekaji. Hii kidogo inaumiza kichwa na ile kauli ya Waziri na IGP kwamba nchi iko salama waifute mara moja maana haiwezekani tukawa salama huku kuna watu wanateka mtu maarufu sehemu sensitive na kumrudisha sehemu sensitive pia kiulinzi.
Dogo tuliza kipapa hicho. Mo ametekwa na magu kisa na mkasa ni viwanda na mashamba ya mkonge aliyayanunua wakati wa ubinafsishaji, magu anataka ayachukue.Chadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuna.
Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!
G LEMA njoo na press ya Ben Saanane sasa
Utalipongeza jeshi la polisi Kwa lipi wakati MO kajipatikana mwenyewe? Wapi jeshi limetangaza kumpata wakati kajipatikana Gymkhana anacheza golf na walinzi wakampa simu akampigia babae kuwa salama salmini alete Gari amchukue!!Wanabodi,
Hii ni thread ya swali, nikipendekeza kwa kuuliza, maana siku hizi, ukiuliza kitu,, watu hawaonagi alama za kuuliza, wakadhani nimetoa statement.
Baada ya Mo kupatikana, baada ya juhudi kubwa sana za jeshi letu la polisi, baada ya ile ahadi ya motivation iliyopelekea hadi IGP kufanya press conference ya jana, hii imethibitisha kuwa kumbe Jeshi letu la polisi, linaweza, wala hatuhitaji wachunguzi wa nje. Jeshi letu la polisi sasa ndio linauwezo, au kama lilikuwa nao siku zote, then, likiamua, linaweza, ukijumlisha na ile ahadi ya motivation ya familia, bali limeweza kwa sababu, sasa ndio limeonyesha uwezo huo kwa kufanikisha Mo kupatikana akiwa mzima, salama uu salmini na bukheri wa Afya.
Sasa kwa vile familia tayari iliishatenga shilingi billion moja kwa atayefanikisha kupatikana kwa Mo, na waliofanikisha ni IGP Kamanda Sirro, na vijana wake, kwa ile Press Conference muhimu ya jana. Mimi Napendekeza hizo pesa apewe Kamanda Sirro na vijana wake, ili zitumike kuboresha jeshi letu la polisi nchini kwa kulijengea uwezo kuzuia matukio ya utekaji, kwa kuwa motivate, siku zote, mtu yoyote akitekwa au kushambuliwa na wasiojulikana, juhudi kama hizi za kumsaka MO, ikiwemo kuitisha press conference, zifanyike. Tena laiti kama tungelijua kabla namna ya kuwa motivate polisi wetu watimize wajibu wao, usikute hata Ben Saanane alipotoweka, tungejichanga tukatangaza dau, angepatikana,
Aliposhambuliwa Lissu, tungejichanga tukatangaza dau, wasiojulikana wale, wangepatikana, na alipopotea Azori Gwanda, sisi media tungejichanga tukatangaza dau, angepatikana, huwezi jua!, Bilioni moja jameni sii mchezo!.
Zamani tulizoea ahadi za motivation ni kwenye kutafutia kura tuu, lakini sasa, hata katika kutimiza wajibu.
Mungu Mkubwa, Pesa ndio kila kitu!, Masikini Ben Saanane, masikini Azori Gwanda
Jumamosi Njema
P.
Acha use**e wewe. Hamkosagi yakusema. Asante Mungu, asante Serikali kwa kumpata Mo.Mambosasa: Taarifa siku ya tukio,waliomteka Mo ni wazungu wawili
IGP: waliomteka Mo walikuwa na gari la nchi jirani ila hakulitaja,ila wataalamu wa kufuatilia lile gari walisema ni la Msumbiji
Mo amepatikana Dar es salaam lakin si Msumbiji, wala Afrika Kusini
Baada ya kupatikana:Mambosasa: waliomteka Mo walikuwa wasouth Afrika ,walikuwa wanaongea kilugha
Unaweza ukajiuliza maswali hapa ,kichwa kikaota upara bila kupenda
Ili wakatengeneze season nyingine na malaika au?😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Director na cast hawaendi mbinguni.
Hebu endelea kuchezea mapumbu"kukanda ngano".Muhindi akili kubwa kuliko average ya akili ya Mtanzania, hivyo huwezi elewa mchezo Muhindi alofanya hapa na kwa nini hii movie imeisha jinsi ilivyoisha, ninyi endeleeni kuwaimbia hao Wahindi mapambio na kuwatukuza, mna low IQ, ...
Ulitaka Hamshukuru Lema?Mo ameanza kwa kumshukuru Mh Rais na Msemaji wa Familia anamshukuru mh Rais hapo ndo sijaelewa
Hicho kitu maamae yani ukipull the triggerr tu kitu kinakohoa paah paah pahh na kutema vitu vyenye ncha kali/butu vinavyoruka hewan kwa kas ya hatariiiii.Naona mchezo wa kutueka mabilionea umeanza nchi hii.
Dawa ni kuanza kutembea na berreta ikiwa full loaded tu muda wote