Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Taarifa toka kwa wanyetishaji ni kuwa kuna jamaa alikuwa anapita ndio Mo akaweza pata msaada wa simu apige nyumbani.
Jamaa yawezekana akapewa mzigo wake, yawezekana ukawa sio wote ila salio lake litaongezeka EXPONENTIALLY.
 
Habari wana jf,
Kichwa cha Habari chahusika Kwanza nitoe pongezi kwa jeshi la police kwa kufanikiwa kumrudisha MO akiwa hai na bila shaka yoyote juhudi kubwa zimefanyika mpaka akapatikana.
Binafs naomba niende moja kwa moja kwenye hoja yangu hivi kwa utajiri alionao MO ni sawa kisheria kutembea bila ulinzi!??? Nawaza Sana bila kupata majibu ila mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa jukumu la ulinzi linaanza na sisi raia wenyewe na mara kadhaa wamekuwa wakitutaka Kama tunataka kuchukua pesa ambazo ni nyingi kiasi basi tuende kutoa taarifa nao watatupa ulinzi.!!
Kwa utajiri alionao MO sidhani Kama si kosa kutembea bila ulinzi. Wakuu wenye ujuzi wa sheria naomba msaada wenu.
Nawasilisha
 
Mimi nafikiri wako sahihi kwa mazingira ya utekaji ulivyokuwa bila Magufuli kuingilia kati wasingemwachia.
Unataka kutuambia waliomteka kabla yakufanya hivyo hawakutingisha Dishi pale jumba jeupe? namba moja anavyopenda kutukuzwa ingekuwa hakushirikishwa B4 hata jua lisingezama angeshapatikana na TV zote zingekuwa live akionekana kuliongelea jambo hilo
 
Amepangiwa cha kuongea maskini.. Huu ubabe hautadumu milele... Pole kwake.
 
Tunamshukuru Mungu, Tunaishukuru na Serikali yetu, Asante kwa kuulinda usalana wa ndugu yetu MO.
 
Hii video inazungumza kila kitu.Wenye akili tumeelewa.Kuanzia sauti ya Mambosasa hadi sura ya Mo!The message is there.
Nawahurumia askari wetu wana pressure kubwa sana awamu hii.
Pole sana kamanda Mambosasa.Sura na sauti yako vinazungumza hapo.Pole baba.Ukitoka hapo piga zako laga mbili tatu ulale.Wananchi tumeona.Umetuonyesha Mo wetu.Nawe pia wakwetu.Sura yako hapo imeonyesha.Mie sitakulaumu.Niseme tu thank you Kamanda.
amepata tabu sanaaa,kufikisha hii taarifa.
 
Siku waliyomteka tuliambiwa simu ya No ilitupwa, leo katumia simu gani kumpigia babake......wonders shall never end kwenye hii nchi
 
Kwaiyo Toyota surf zilizuiwa kutembea mjini? Au zote zilikuwa zinakaguliwa kila wakati zinapotembea? Watekaji walikuwa naakili Sana. Kwa kumrudisha MO na gari ileile wamepoteza ushahidi mwingine muhimu.
Rubbish.
 
Haha bavicha bwana hivi ni kelele ndio zimemtafuta mpaka akapatikana?

Jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola vimedhibitisha weledi wake.

Sio kila jambo mnalilia wachunguzi wa kimataifa.

Chadema mnekuwepo wakati wa vita vya Idd amini si ajabu pia mngeshauri wachunguzi wa kimataifa waje kutusaidia.
[emoji16][emoji16][emoji16] ukiwa mshabiki wa muuaji bwana
 
Back
Top Bottom