Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mkuu,nasikia bwana yule alidai trillion 2, ili aendeleze miradi yake ...

Nadhani atakuwa amelipwa,

Angekuwa mtekaji wa kawaida serikali ingeshamupata ,

Huyu mtekaji siyo wa kawaid
 
Tujadili ili hao watekaji wajue kuwa watanzania hawataki tena Sinema za kihindi wanataka viwanda na maendeleo pekee.
Bashite ameingia clouds tv kibabe..tumejadili

Mwanafunzi kapigwa risasi...tumejadili

Wabunge wanahama...tunajadili

MV nyerere imepinduka...tumejadili

Bunge live....tumejadili

Acacia....tumejadili

Tindu lissu kapigwa Risasi...tumejadili

Ben saa8 na watu wengine kupotea..tumejadili

Maandamano ya Mange na UKUTA..tumejadili

Blaaa blaaa kibao...tumezijadili

Duh hivi hatuchoki tu?....Kama tunajadili ni vema kujadili vitu muhimu vya kuikomboa Tz kutoka katika tawala mbovu,uchaguzi tayari unakuja na sidhani kama kuna mpango wowote hata wa kuwa na tume huru ya uchaguzi

NARUDIA TENA,SISI NI WAJINGA..TUNAPOTEZA MUDA WETU KUJADILI HAPA
 
Huna clue ya unachotetea wewe.
 
Yaani gari inayofatiliwa sana inaenda hadi Gymcana kupaki?

Waangalie cctv watwambie lilitokea wapi maana mitaa hiyo ya ikulu zimejaa
 
Gari linaloaminika kuhusika kumteka mfanyabiashara MO DEWJI limetelekezwa maeneo ya Viwanja vya Gymkhana. Picha zilizotolewa jana na IGP Simon Sirro zilionesha gari hilo likiwa na namba za usajili AGX 404 MC lakini leo linaonekana limetekelezwa likiwa na namba tofauti.


 
Kwahiyo ulitaka gari likamatwe na namba hizo hizo.

Akili za bavicha mnazijua wenyewe.

Kazi nzuri Jeshi la polisi.
 
😂wasukuma ni nongwa sana
 
haka kamchezo yawezekana Mo ndiye director,pia kuna baadhi ya watu wa mfumo wanahusika
 
Dah! Tumefika mbali sana. Ila nimeamini ushamba ni mbaya sana. Hata upewe nafasi gani bado utafanya mambo yako kishambashamba tu! Ivi neno mshamba kwa kiingereza linaitwaje? Thanks God Mo is back
A Geek , the likes of ******** & Bashite
 
Yaani gari inayofatiliwa sana inaenda hadi Gymcana kupaki?

Waangalie cctv watwambie lilitokea wapi maana mitaa hiyo ya ikulu zimejaa
hazitaonesha, labda wafatilie kawe
 
Imebainika kuwa watekaji wa MO walikuwa wakimlazimisha kula pale alipokataa kula na walimpa kila alichohitaji, pia imebainika kuwa watekaji hao walikuwa wakihitaji fedha kutoka katika familia yake! Hayo ni kwa mujibu wa kamanda Mambosasa alipokuwa akitoa taarifa mara baada ya MO kuwaeleza kilichomsibu!

Haijulikani ni kiasi gani hao watekaji walihitaji na pia bado haijabainika kama endapo familia ya MO imetoa fedha hizo au la!

Mytake;Hili suala la MO bado nyuma yake kuna kiza kinene na kwa hili hao "wasiojulikana" wasipowekwa wazi mbele ya umma basi ni dhahiri kuwa wataendelea kuwa na kiburi na kutekeleza matendo ya kiuhalifu zaidi! Ni vyema hili genge likasambaratishwa ili watu waweze kufanya shughuli zao bila kuwa na hofu! Hatujui ni nani atafuata na atafanywa nini...
 
Mou katekwa coliseum katupwa gymkhana hahahhahaha daa asee kweli nna haki ya kuikosa bilioni mm nlkua na namtafta uku msitu wa pande
 
Mungu Ni mwema ,zaburi ya 43 naendelea kusoma ,nilimwomba Mungu ajibu maombi kabla ya siku Saba nilianza tarehe 15 niyaendelea kea siku 40 Muujiza wa Mungu lazima uonekane
 
Imeniuma sana yaani, yaani huyu Mkuu wa nchi ndiyo amefikia huku, This world this universe connected together unafanya kitu kibaya and you will see the consequences of this. Wapo watakaokataa but this is how the dynamics of this world works.

Hata kama mmoja miongoni mwa watu ana makosa lakini hii siyo njia njema ya kudeal nao. Hata kama ni njia moja wapo ya kitengo cha propaganda ya nchi lakini hii siyo njia nzuri. Lakini Magu inaonekana kiti alichokalia kimemhundi na madaraka yamemlevya.

Insha'Allah tutafika tu. Tutafika tu insha'Allah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…