Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
MO anajua Kizulu?kwa mujibu wa maelezo ya Geshi la Porisi jamaa alitekwa na wazungu wanaoongea kizulu/xhosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MO anajua Kizulu?kwa mujibu wa maelezo ya Geshi la Porisi jamaa alitekwa na wazungu wanaoongea kizulu/xhosa.
Yajayo yanafraisha mkuu,, Ni kuumbuka kwa kwenda mbaliiii zaidi Unajuwa kila kitu kina mwanzo na kati then mwishoWakat ufike mara ngap
Ni Mungu mwenye nguvu na mamlaka yote.Anayekulinda wewe na mali yako hata ukaweza kila mara kuandika humu JF ni nani? Au anayewalinda hao Mabwana zako, ambao kila kukicha hukimbilia kwenye vyombo vya habari kuilaumu Serikali, kama hufanyavyo humu JF, wakiwa huru na salama, ni nani?
Alikutwa ametupwa kwenye viwanja vya GymkhanaAisee...amerudije nyumbani sasa??
Tena watekaji wamepita hapo hapo kwenye ulinzi wakiwa na confidence kubwaMimi Nilifikiri Vyombo Vya Ulinzi na Usalama Ndiyo Vilivyofanikiwa Kumpata Kutoka Kwa Watekaji, Kumbe Wamemuokota?
Yani mpaka Watekaji Wameamua Kumuachia wenyewe halafu wanajitapa Kuwa "Eti Wamefanikiwa Kumpata"...
Si waseme tu Kuwa " Wamefanikiwa Kumuokota"
Sasa umekuja na theory nyingine .....!!Hii inaonyesha familia wamelipa ransom!
Moja ya masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio lote!
Kama atazungumza kuhusu yaliyomsibu mpaka akarudi basi hiyo itaonyesha kuwa hakulipa ransom na hakuna makubaliano.
Hoja iliyopo mbele yetu kwa sasa, Je, kama amelipa ransom, nini kwa sasa nafasi ya matajiri nchini kuhusiana na usalama wao kwa sababu kulipa ransom ni kufungua mlango wa biashara ya kidnapping and ransom nchini kwa matajiri.
Kosa la kulipa ransom baada ya kutekwa ambalo nchi za kusini mwa Afrika kama Afrika Kusini na Msumbiji walilianza kwa matajiri ndilo kwa sasa linazidi kuwatafuta kwa kasi zaidi.
Je, kuna uwezekano na Tanzania tukaelekea ambako nchi za kusini mwa Afrika ziliko kwenye biashara ya kidnapping and ransom?
Usisahau kuchukua toilet paper ukachambie mkuu.Sirro ndio kawatisha kuwaonyesha wapo kwa mstari na wamejua yao..
Hongera kwa jeshi la Polisi
Jana Sirro alikuwa shujaaa na kawaonyesha ni moto moto na wametikisika haswaaa na kumuachia.
Ukiona taifa linaamka na habari mbili-moja ya IGP anaonyesha gari likaelezwa ndilo lilitumika katika utekaji wa MO, na nyingine JPM anakula chakula cha mchana na wachezaji wa Taifa Star Ikulu na kuwapa milioni 50 mengine jaza mwenyewe!Hahahaha ushamba wa jiwe utamcost siku moja
Cover story hapa itakuwa ni nini ? Maana hata mtoto mdogo anajua Mo alichukuliwa na kina nani .
Halafu watu wa aina hii ndio wakakae meza Moja na kina Prof Thontorn wa Barrick tutegemee kulipwa na Accasia matrilioni ??
Tutakesha tukisiburia hilo
Ndugu yangu hawa niwakuhurumia tuYaani kelele za Lema ziwe msingi wa kupatikana Dewji lakini kelele hizo hizo zisiweze kumleta Ben Saanane? You must be joking!
Nani mwenye uhusiano wa karibu kikazi na kimaisha kati ya Lema na Ben Saanene au Dewji?
Kumbuka Ben Saanane alikuwa mfanyakazi wa CHADEMA
Ulichofanya ni kutoa shukrani ambazo hazina hata ukweli kifikra!
Issue ya kutelekeza gari ndio imeharibu kabisa muvi yao.Itakuwa alikuwa mitaa hiyo hiyo ya Jirani
Unafikiri kapatikana Kwa sababu ya we mnyonge kupiga kelele? Kapatikana sababu ya Utajiri wake.Utajiri wake ndo umesababisha apatikane na wala sio kelele za WanyongeWanyonge tumeungana tukapiga kelele tajiri kapatikana,ila hawa matajiri hawajawai kuungana hata kukemea lolote kwa umoja wao ili masikini apatikane.
Tumejifunza.
HiriziAnayekulinda wewe na mali yako hata ukaweza kila mara kuandika humu JF ni nani? Au anayewalinda hao Mabwana zako, ambao kila kukicha hukimbilia kwenye vyombo vya habari kuilaumu Serikali, kama hufanyavyo humu JF, wakiwa huru na salama, ni nani?
Kama ni hapo Gymkana pale ni jirani kabisa na makao makuu ya jeshi la polisi na wizara ya mambo ya ndani. Yaani unavuka barabara tuMimi sina uenyeji na jiji la joto ebu nijulisheni hapo MO alipotupwa ni mbali na mjini au ni nje kidogo kama ni mjini means hawa watekaji wanazurura tu mjini daslaam mjini bila tatizo
mkuu hii ransom.inanywa na mamraka halisi za inchinau mahalamia kama wale waliokuwa wakiteka meli za mafuta kule somalia? Kama mamlaka halali za nhi zinaingia huko basi hahitajiki kuwa tajiri.maana ukowa tajiri ni issueHii inaonyesha familia wamelipa ransom!