Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Lema unajipendekeza tu wala hamna atakayekusikiliza.

Tokea useme ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa alafu baadae wewe mwenyewe tena ukawa mbeba viatu wa Lowasa tulishakupuuza
Sisi tumekupuuza Wewe na huu uharo wako
 
Kwanza nitoe pole kwa familia na Mo kwa magumu mliyopitia na ambayo labda bado mnayapitia kwa Sasa na siku za usoni.

Pili nimshukuru Mwenyenzi Mungu atoaye uzima na ajuaye yale yatupasayo na kutupa njia ya kuvuka salama katika majaribu mbalimbali.

Tatu niwapongeze wale wote waliosimama kidete kuzungumza adharani kuhusu utekwaji wa MO jambo ambalo linatoa mwanga kwamba binadamu tunapaswa kuheshimiana na kutomdharau mtu kwani wakati wa shida marafiki wengi wasiowakweli ujitenga na kukaa pembeni nakurejea kukufariji wakati unapovuka viunzi.Natumai kupitia njia mbalimbali utatambua namna wengi wa waliokuwa wa karibu yako walivyokaa kimya na baada ya wewe kurejea naamini watakuja kukuona na kukufariji.Kaa nao kwa umakini na uishi nao kwa akili.

Napenda kukupongeza kwa moyo wako wa upendo uliokuwa nao na naamini unao, nasema moyo wa upendo kwa sababu waliolia na wewe si matajiri wala wanasiasa pekee bali maskini na wanyonge walilia kutetea uhai wako.

Baada ya hayo naomba kukupa ushauri huu wewe na familia yako...

FAMILIA ILITOA AHADI YA BILIONI MOJA KWA MTOA TAARIFA NA NAAMINI KWA MAZINGIRA YA UPATIKANAJI WAKO HAKUNA MTU ALIYELIPWA KIASI HICHO, HII NAAMINI NI SADAKA NA ITALIKOMBOA TAIFA LETU HUKO MBELENI ENDAPO TU ITATOLEWA KWA MAZINGIRA HAYA

1.Endapo utaitoa basi ipeleke kujenga nyumba za ibada aidha kanisa au msikiti, watakaoingia katika msikiti huo wataokolewa kiroho na nafsi zao kupona kutuepusha na binadamu wasio na hofu ya Mungu katika Taifa letu.

2.Endapo utaitoa kujenga chuo au shule basi tambua wapo wasomi watakaozalishwa katika vyuo hivyo na ambao kila watakapokumbuka kitendo ulichotendewa watapambana kwa nafasi zao kupiga vita watekaji na maharamia wa aina hii.

3.Endapo utaona yafaa pia waweza anzisha kituo maaalumu Cha kulelea watu wenye ulimavu, wasiojiweza na maskini nao watapata chakula, watalala, watapata huduma za kijamii na kupunguza vibaka na wavutabangi ambao ndio uzaa jamii ya utekaji.

4.Vinginevyo vyovyote uonavyo inafaa.

Natumaini utayasikia haya na kuona namna ya kuyatekeleza, tupo tayari kuunga mkono juhudi zako hata kwa kidogo tulichonacho.

Yawezekana huko ulikotoka wamechukua fedha nyingi kwako kuliko tunavyodhani, lakini ni bora ukatoa sadaka hi mbele za Mungu aliyekupa maarifa na utajiri ili akibariki upate zaidi na kuwaaibisha hao waliokunyanyasa kwa sababu tu wewe ni mbunifu na haukuzaliwa kuajiriwa balibkuqjiri.
 
Lema akubali tu mwamba Polisi chini ya IGP Sirro wamefanikiwa kwenye operesheni "saka mzungu" na MO amepatikana akiwa hai.
 
Aisee mwanahabari huru ulikuwa wap mzazi siku nyingi huonekan jukwaan
 
View attachment 904925

Imani kwa vyombo vya usalama inajengwa na haki .Ushujaa sio kutoa amri bali ni uwezo wa kubeba kweli,haki na uadilifu ktk wajibu.Suala la Mo kutekwa mpaka kupatikana limejaa wasiwasi.Kama MB nitaongea na niko tiyari kulipa gharama kwani mambo haya yakiendelea ni hatari kwa Nchi.


Lema aache figisu;
So anafikiri amerudishwa kwa sababu ya ule upuuzi alosema juzi.Watanzania tujue kwamba sio kila tatizo linaelezewa kisiasa we mumeo amechepuka au mkeo halafu unasema ni siasa.Tuache kudanganyana bana
 
1540042806097.png


Polisi washaanza kupokea shukrani zao taratiibu
Ni mwendo wa kula ice cream tu, Bilioni moja isahau.
 
Nashaanga saana wanaobeza jujud za Lema
Ww unayebisha uki nyuma kibodi umejificha kwa ID fake km mbuz mwenzio anakwambia ataongea kuhusu kupatikana kwa mo ww unawashwa nn akili za kuambia changanya na zako jana limeyolewa pivha ya gar leo limekuywa gari jingime likiwa na namba kwenye sife mirror za picha ya gar ya jana lkn ukiaangalia mlangonwa gar la jan ulikuwa unafunguka kwa kuvuta kulia lakn la leo unafunguka kwa kupndisha juu
Bado unawashwa washwa tu maelezo ya IGP
 
Vyote vya wezekana hata politics is a business
But in this case politics is totally out of equation...Mo alitekwa kibiashara na the whole issue ilijengwa na watu wa nchi amabzo wafanya biashara wake walikuwa na market share kubwa katika bidhaa ambazo mo ameanza kuzizalisha
 
Back
Top Bottom