Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

UPDATES
kauli ya lissu itaishi HAKUNA ALIYESALAMA,WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU nafikiri watu hawakumuelewa , MO aliziba masikio alifikiri haimuusu
Unaambiwa mchango wa viongozi wote wa serikali ya awamu ya 5 kwa ccm ukiwekwa pamoja haufiki hata robo ya mchango wa MO
 
Hapana hujaelewa vizuri mkuu. Gari limevuka mpaka mara 3. Yaani kwa kuingia, kwa kutoka likiwa na Mo, na kuingia tena likiwa na Mo. Yaani hatutapa watekaji wenye huruma kama hawa. Walivuka na Gari hadi Msumbiji ah! Sijui Kenya halafu wamemrudisha Mo na Gari wakatuachia. Fantastic.
Hakika hawa watekaji wana upendo sana. Wamemteka, wakakaa nae siku 9 bila mateso yoyote. Kwa mujibu wa IGP walikua wanampa vyakula anavyovipenda. Na akikataa wanamlazimisha.

Hatujui vyakula hivyo walikuwa wanapika au wananunua. Bt hilo sio muhimu kwa sasa. Muhimu ni kwamba walimpa vyakula anavyovipenda. Akitaka burger wanamletea. Akitaka pizza wanamletea.

Baada ya kukaa nae siku 9 wakaamua kumuachia. Wakampeleka hadi viwanja vya Gymkhana. Bila kumdhuru wala kumsababishia majeraha yoyote. Wakampa na simu yenye credit na charge ya kutosha ili awapigie ndugu zake.

Wakamuamuachi na AK47 yenye risasi 19 ili wakitokea watekaji wengine aweze kupambana nao. Hakika hawa watekaji ni WALOKOLE waliompokea Kristo kuwa Bwana na mwokezi wa maisha yao. Somebody say Amen.!
 
Suala la usalama linapochezewa ina maana hiyo sera haifanyi kazi..

Tupaze sauti zetu, na hii kitu itawagharimu sana watawala ambao wamelewa uongozi.

Idi Amin Dada wa Uganda alichezea sana usalama wa raia wake ,mara kutoweka kwa watu na maiti kupatikana viungani mwa Mji wa Kampala,
Mwisho wa siku hata baada ya mambo kuwa magumu wananchi wake wenyewe walimgeuka.
 
Watanzania tuna mambo ya ajabu sana.

Mo ameshapatikana salama kabisa. Bado tu watu wanachimba chimba. Wanataka nini ?

Embu tusiwe wachokozi. Hii nchi ni ya amani sana. Tuiamini serikali yetu na vyombo vyake vya ulinzi na usalama ndo maana amepatikana akiwa hai. Which means kuna watu wamepambana sana, hawakulala moaka amepatikana.

Tifanye kazi jamani. Tuache nongwa.
 
Walimpa silaha ya kivita na vingine vidogovidogo. wakampa simu wakamuachia na gari kisha wao wakatembea mwendo kama wa 1.5km na kuzama getini huku wakimwambia "Pambana na hali yako" Ila cha ajabu watu walitoka kwao kumfuata ndugu yao na polisi wakaja kumkuta nyumbani. Kungekuwa walau na uchaguzi ningesema walikuwa bize ku vote usiku wa manane ila walikuwa free kabisa.
 
Maana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,

Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,

Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,

Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,

Na kuambiwa waseme yafatayo

Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,

Script ikae vema
 
Aisee, sikutegemea thread ya namna hii, unatushushia hadhi Watanzania.

Naomba nikujibu kulingana na ufahamu wako; hivi kwa nini huwa tunataka miili ya marehemu ifanyiwe postmortem wakati marehemu hawezi kufufuka? Kama tunafanya postmortem kwa mfu, Je sio zaidi sana kwa Mo aliyekuwa ametekwa?

Vv
 
Walimpa silaha ya kivita na vingine vidogovidogo. wakampa simu wakamuachia na gari kisha wao wakatembea mwendo kama wa 1.5km na kuzama getini huku wakimwambia "Pambana na hali yako" Ila cha ajabu watu walitoka kwao kumfuata ndugu yao na polisi wakaja kumkuta nyumbani. Kungekuwa walau na uchaguzi ningesema walikuwa bize ku vote usiku wa manane ila walikuwa free kabisa.
Mkuu kuna Hollywood, Bollywood, Nollywood na ikazaliwa Bongomovie na sasa Magogoniwood.
Hii ya mwisho ndio ya kisasa zaidi, jambazi anavamia Nyumba anavua viatu keanza asichafue kapeti. Ushapata kuonahiyo?
 
Maana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,

Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,

Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,

Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,

Na kuambiwa waseme yafatayo

Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,

Script ikae vema
Script ishaharibika Mkuu, muandaaji alijitahidi bt alieimalizia kaharibu vyote
 
Maana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,

Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,

Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,

Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,

Na kuambiwa waseme yafatayo

Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,

Script ikae vema
Mo amepatikana, eidha ilipangwa au laa. Muvi imeisha. Wewe ni nini zaidi unachokitaka?
 
Maana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,

Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,

Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,

Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,

Na kuambiwa waseme yafatayo

Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,

Script ikae vema

Lingine hata kama kapatikana akiwa mzima kwa nini wasingempeleka kwa nza hospital angalau kupumzishwa tuu ata na drip la maji ya glucose au kupimwa hata malaria mana siku zote hizo huwezi jua usalama wa aliko lala
 
Back
Top Bottom