Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Maana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,

Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,

Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,

Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,

Na kuambiwa waseme yafatayo

Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,

Script ikae vema
Kwa maoni yako bilioni moja apewe nani?
 
Mkuu Paschal,naanza na samahani!
Hivi siku hizi unakula "maharage" ya wapi?
Yaani hela wapewe waliozembea hadi kachukuliwa,kafichwa,karudishwa hadi viwanja vya wazi bila wao kung"amua na kisha wanamfuata kwake kupiga naye picha???!!!! Je,matukio ya zamani ambayo hawajayapaia ufumbuzi wapewe nini?
I WILL BE the last person to believe them.

Wee Nkese, kweli mwenye macho haambiwi ona..hivi hujaona pressure iliyowekwa na Jeshi letu tukufu mpaka wakamtema mateka akiwa salama? kuhusu matukio ya zamani bado wanaendelea na uchunguzi kwani hayafanani na hili la Mo kutekwa bro
 
Mode sio nia yangu kuingilia kazi yenu. Like threads ndizo zinaunganishwa, msingi wa kuunganisha, ni maudhui yanayofanana, bandiko hili ni kupatikana kwa MO Dewji,

Mimi bandiko langu ni swali jee polisi wapewe ile Bilioni moja ya zawadi, bandiko hili lina uhusiano gani na kupatikana kwa MO Dewji?.
P
Pascal JF ni "yetu sote" na sio ya Moderators au "wao", naomba wasifanye makosa ya kusema "mkoa wangu" bali waseme "mkoa wetu"...maana yangu Modes wasifanye maamuzi kwa faida yao au kwa jinsi wanavyojisikia bali wavae viatu vyetu wote, inakuwa taabu sana kupata mtiririko bora pale mabandiko yanapounganishwa bila sababu za msingi pamoja na kwamba jana ilikuwa MONDAY, ngoja niwahi kanisani
 
Picha ndo inàanza!! Hakuna sababu yeyote inayojulikana kuhusu Mo abduction, mazingira ya kurudishwa hayamatch utekwaji wake, Mo amekuwa kama samaki, ana Mengi ya kusema tatizo mdomoni ana Maji!
 
Maana nimeona kuna maswali hapa nimelala alafu nikaamka,

Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,

Tunaweza kuwapata walinzi waliompa simu au.namba zao tukahakikisha kwamba ni kweli? Au angalau wahojiwe basi,

Maana hisia hizo zinapelekea tuamini amerudishwa na.polisi kwao,

Na kuambiwa waseme yafatayo

Plz Sirro na Mombasasa msichukie maana maswali tunavyouliza tunawapa nafasi ya kurekebisha maelezo yenu,

Script ikae vema
Kama Ni kweli uwazavyo basi Tanzania kwa Sasa hatuna vyombo vya ulinzi na Usalama kabisa.
Na je unadhani uko ktk vyombo vyetu hakuna watu wenye ujuzi na uwezo wa kifikiri Kama wewe?
 
Niliposikia kamsifia na kumshukuru mtukufu,moja kwa moja nikajua kila kitu kilishaandaliwa ikiwemo nini cha kusema.
 
Kwanini familia imekimbilia kujitetea kwenye maelezo kwamba tumepigiwa simu tukamfuata, ila jamani tumefanya kosa hatujaenda na polisi,
ya familia waachie familia wenyewe .Wengine wanahoji ohh mbona hakwenda hospitali kuchekiwa? watu wana personal doctors sio kila mtu hupanga foleni hospitali doctor aweza kuja nyumbani kwAko ni pesa yako tu.Umbeya tu umekujaa ya familia waachie wenyewe
 
OK hilo LA doctor sawa je? mbona hakwenda polisi kuandika maelezo au ana personal polisi pia?
 
Lingine hata kama kapatikana akiwa mzima kwa nini wasingempeleka kwa nza hospital angalau kupumzishwa tuu ata na drip la maji ya glucose au kupimwa hata malaria mana siku zote hizo huwezi jua usalama wa aliko lala
Baadhi ya Matajiri wana personal doctors wao huwafuata kuwapima na kuwatibia majumbani mwao usidhani kila mtu huwa anabeba kinyesi na mkojo na kwenda nao kukaa foleni hospitali.Wewe utakuwa maskini lofa wa kutupwa unadhani kila mtu hutibiwa kwa staili hiyo ya kimaskini
 
OK hilo LA doctor sawa je? mbona hakwenda polisi kuandika maelezo au ana personal polisi pia?
Polisi hukuwaona nyumbani kwa MO? Unafikiri walienda kufanya nini si ni pamoja na kuchukua maelezo. Maelezo ya polisi yaweza chukuliwa popote hata hospitali kama umelazwa.
 
Nondo na Roma walifuatwa nyumbani kuhojiwa??
Wao mabilionea? Wanaiingizia nchi shilingi ngapi na wameajiri watu wangapi? Mabilionea hata mabenki huwafuata majumbani kuwapa pesa ama kuchukua pesa .Huwezi wakuta wamepanga foleni benki.Unalinganisha MO na Nondo na Roma .LOOO Shame on you
 
Vipi ikitokea bilionea ametenda jinai au anahujumu uchumi,
 
Back
Top Bottom