Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ni mpumbavu sanaChadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuma.
Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!
Barabara ya old hasan mwinyi pembezoni wanaishi watu wakubwa na viongozi, yupo mwinyi,mama maria ndo makao makuu ya JKT na barabara nzima nyumba nyingi zina kamera, syo rahisi gari lililokwisha tajwa ni hatari na linalosakwa lipite, ni muujiza tu kuaminiUlinzi mkali huwa uko sehemu gani mkuu?
mbona kuna alternative nyingi sio lazima lipite Njia hiyo tuBarabara ya old hasan mwinyi pembezoni wanaishi watu wakubwa na viongozi, yupo mwinyi,mama maria ndo makao makuu ya JKT na barabara nzima nyumba nyingi zina kamera, syo rahisi gari lililokwisha tajwa ni hatari na linalosakwa lipite, ni muujiza tu kuamini
Watanzania wa mtandaoni ni tofauti na waliopo kwenye field/ground. Refer to maandamano ya Mange.Ni kwamba Muhindi ana uwezo wa kuitisha Mapinduzi na kuipindua Serikali yetu tulioichagua, na hakuna Muhindi atakayeshiriki kwenye maandamano, bali ni weusi ndo watajazana, ...
Hivi unachotetea ni kitu gani hasa? Una maslahi gani kwenye kutetea kila kitu kibaya kinachofanywa na baadhi ya mamlaka za serikali?mbona kuna alternative nyingi sio lazima lipite Njia hiyo tu
Njia zote toka kawe kwenda jimkana ni full mapoliccm hakuna namna usionekane tena kwa gari liliokuwa linatafutwambona kuna alternative nyingi sio lazima lipite Njia hiyo tu
Watanzania wa mtandaoni ni tofauti na waliopo kwenye field/ground. Refer to maandamano ya Mange.
Acha lugha za ubaguzi wewe mkaburuNi kwamba Muhindi ana uwezo wa kuitisha Mapinduzi na kuipindua Serikali yetu tulioichagua, na hakuna Muhindi atakayeshiriki kwenye maandamano, bali ni weusi ndo watajazana, ...