Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Wanakuja vijana wa chama, wameshapewa majibu tayari naona wapo busy wanajibu kila mtu kama ilivyo ada.
 
Kwa yote tunayojua Mo na kila mtu alijua kupatika kwa MO polisi walipaswa kujulishwa kwanza. Ninashangaa kwa nini polisi walipewa umuhimu wa mwisho pamoja na juhudi kubwa walizokuwa wamefanya?
Huo ndio utaratibu unaotumika duniani kote, katika kubadilishana mateka kwa ransom, familia inaelezwa, kama mnamtaka ndugu yenu akiwa hai, leteni kiasi fulani mahali fulani pa wazi, no police involvement, unaelekezwa mahali pa kuacha fuko la fedha kisha unapigiwa simu mahali pa kumkuta mtu wenu, biashara inamalizika.

Katika bandiko langu hili, nililishauri jeshi letu la polisi, kuwa kama kweli liko serious, liwatumie watu wa FIU wa BOT kufanya monitoring ya huge forex withdrawal na to keep trail zinapelekwa wapi, most of the times, familia hutoa ushirikiano ili ndugu yao apatikane akiwa hai.
Trends Reading: Tetemeko Bukoba, Walinyamaza, Ajali ya Kivuko, Walinyamaza, Shambulizi la Lisu, Walinyamaza, Hili la MO, Hawata Nyamaza! - JamiiForums, nilisema
Wanabodi,
Kwa vile Tanzania hatuna matukio ya utekaji wa ransom, usikute jeshi letu la polisi hawana abche mambo haya, na kwa vile niliwahi kushauri humu, tusisubiri tushindwe ndipo tuzomee, ukiweza kusaidia saidia tuu, hivyo hapa nalisaidia jeshi letu la polisi, kwa vile ni kawaida kwa mabilionea kutekwa kwa ransom, hivyo natoa wito kwa jeshi letu la polisi, kama kweli wako serious, kufanya secret monitoring his forex accounts, kupitia kitengo cha FIU kilichopo BOT, ku monitor kila kutu wakiona massive withdrawal of bulky cash, wafanye trails secretly zinapelekwa wapi, pia wawafanyie surveillance, ndugu wote wa karibu, kuanzia kwake, kwa baba yake na ndugu wote haswa Azim Dewji ndie likely the negotiator!, wataona tuu movements, usually usiku wa manane, watawapata watekaji, vinginevyo tutaishia kusikia, Mo, amepatikana ufukwe wa Coco Beach, huku hajitambui na hakumbuki chochote, na hadithi itaishia hapo, kumbe ransom imelipwa!
P
 
Watanzania wenzangu kuna mahali sijaelewa, hivi inawezekanaje gari litoke kawe hadi jimkana barabara yenye ulinzi mzito tena kwa kutumia gari iliyokwisha kuonyeshwa hadharani kuwa ndo ilotumika kumteka?
Hii kitu inaniumiza sana kichwa🙂😉🙂😉
Kwa hiyo unamaanisha tumedanganywa na mtoa habari hii
 
Huo ndio utaratibu unaotumika duniani kote, katika kubadilishana mateka kwa ransom, familia inaelezwa, kama mnamtaka ndugu yenu akiwa hai, leteni kiasi fulani mahali fulani pa wazi, no police involvement, unaelekezwa mahali pa kuacha fuko la fedha kisha unapigiwa simu mahali pa kumkuta mtu wenu, biashara inamalizika.
Pascal Mayalla, asante kwa maelezo; je nini ni madhara ya kusema tumelipa ransom hasa ukuzingatia familia ilishasema iko tayari kutoa billioni moja?
 
Hio ni duniani kote ila hapa kwetu ipo tofauti maana script ilikosewa
 
Huo ndio utaratibu unaotumika duniani kote, katika kubadilishana mateka kwa ransom, familia inaelezwa, kama mnamtaka ndugu yenu akiwa hai, leteni kiasi fulani mahali fulani pa wazi, no police involvement, unaelekezwa mahali pa kuacha fuko la fedha kisha unapigiwa simu mahali pa kumkuta mtu wenu, biashara inamalizika.
Wapi wamesema walimteka wapate pesa harafu wafanyie mjini kabisa mabadilishano hayo msifanye watu hawajui kufikiri
 
Mo Directly ameajiri watu elfu 25.
Kama kila muajiriwa ana familia ya watu wanne, basi Mo anasapoti directly maisha ya watu laki moja (elfu 25*4).
Kwa hawa watu ukimgusa Mo ni kama umewagusa wao binafsi na lazima wakung'ang'anie shati.

Kuna watu wanaouza jumla na rejareja bidhaa za Mo nchi nzima. Hawa nao watakomaa na wewe ukimgusa Mo.
Jumlisha hali ya siasa ya sasa ambapo wanachama wa CCM ni polisi.

Mmekosea sana kumteka Mo,mlidhani mnaenda kuvamia Clouds TV?
 
Pascal Mayalla, asante kwa maelezo; je nini ni madhara ya kusema tumelipa ransom hasa ukuzingatia familia ilishasema iko tayari kutoa billioni moja?
Wakati familia inafanya press conference, negotiations na watekaji zilishaanza, ile press co ilikuwa ni dupe tuu kwa polisi wetu, familia kujifanya inawatafuta watekaji kama shida yao ni pesa, watatoa, ili polisi polisi isije kuwatibulia!.
P
 
Hii ya Muhindi ni funga kazi haijawahi kutokea, hata Nyerere hakuwahi kupata sapoti kubwa ya negros kama aliyopewa Muhindi!

Hebu leta evidence hata moja tu kuthibitisha usemi wako na jaribu kusoma tena na tena harakati za Nyerere ktk kuusaka uhuru wetu ama sivyo utakuwa vice versa?
 
"Different Colours / One People"

Breaking those barriers
All over the world
Was not an easy thing
Yesterday your mouth was shut yeah
Couldn't make a sound eh boy
But it's such a good feeling today
When I can hear them from
Across the ocean singing this song
That the whole world should be singing
All the time

[Chorus: x3]
We're...
Different colours {one people}
Different colours {one people}

Hey you government
Never try to seperate the people
Hey you politician
Never try to seperate the people

They were created in the image of God
And who are you to seperate them
Bible says, he made man in his image
But it didn't say black or white
Look at me you see BLACK
I look at you I see WHITE
Now is the time to kick that away
And join me in my song

[Chorus: x3]

Hey you politician
Never seperate the people here
Hey you man hey you man
Never try to seperate the people

Some were from America
We were from South Africa
Some were from Japan
We were from China
Some were from Australia
We were from the U.K.
Some were from Zimbabwe
We were from Ghana
Some were from Jamaica
We were from Russia
Some were from Aha-ha-ha
We were from Uhu-hu-hu

[Chorus: till fade]
 
Back
Top Bottom