Beki 3 Bora wa Muda wote? Tuwaweke wapi Twaha Hamidu na Kenneth Mkapa?Hivi nikisema huyu ndo namba tatu bora wa muda wote kt ligi kuu ya Tanzania bara nitakuwa nimekosea? Huyu jamaa amecheza kwa kiwango bora kwa misimu karibia kumi mfululizo, amecheza timu ya Taifa mara nyingi mno, ni mchezaji bora sana katika nchi hii.
Nasikitika haheshimiwi, sifa wanapewa wengine yeye anarukwa, tafadhalin sana wanasoka tumpe heshima huyu kijana, sio rahis kupata mchezaji wa kariba yake kwa miaka hii ya karibuni.
Tatizo ni mshirikina hakuna mfano, asifiwe na wachawi wenzie.
Ambros mbona ni beki 2 umri umeenda. afu huyo Mangalo uwezo wa kawaida sana angekaa sana benchiMimi ni Yanga lakini Kuna jamaa wa biashara anacheza namba 7 Renatus Ambrosi na Beki wa Kati wa biashara Abdulmajid Mangalo awa jamaa kwasasa wanastahili kuitwa timu ya Taifa.
Uyu Renatus hana mambo mengi yaani angekua Yanga, Mayele angesha fikisha goli 15 mbaka Sasa za ligi kuu.
Kennedy ni zaidi ya Job, Dilunga ni zaidi ya Ambundo
Aka utopwinyoHujakosea....! Kimsingi Kwa Tanzania hasa miaka Ya Karibuni Wachezaji bora Wa muda wote karibia namba Zote Wanapatikana Simba tu...!
Nakaribisha povu Kutoka Kwa 'Machale Championi' wa Bongo ..!
Kennedy Anachomzidi Job Ni Urefu Tu, Dilunga Anachomzidi Ambundo Labda Mwili.... Lakini Tukija Uwanjani Hao Watu Ulowataja Hawawazidi Chochote Niliokutajia.Kennedy ni zaidi ya Job, Dilunga ni zaidi ya Ambundo
Mulibwanji Kama Unabisha Taja.Uto kazini
Ni Kweli Hao Jamaa Wako Vizuri Hasa Huyo Beki Mangalo, Mayele Izo Goli Angefikisha Kama Angeongeza Umakini Kidogo Akiwa Kwenye Box..Mfano Kama Ile Nafasi Aliyopoteza Mechi Na Geita Gold Alikuwa 95% Ya Kuweka Mpira Kambani Na Tungepata Goli La Pili Pale.Mimi ni Yanga lakini Kuna jamaa wa biashara anacheza namba 7 Renatus Ambrosi na Beki wa Kati wa biashara Abdulmajid Mangalo awa jamaa kwasasa wanastahili kuitwa timu ya Taifa.
Uyu Renatus hana mambo mengi yaani angekua Yanga, Mayele angesha fikisha goli 15 mbaka Sasa za ligi kuu.
Umejuaje??.dogo anajitaidi sana tuu, ila sasa kwenye yale mambo yetu ya kienyeji ni hataree, hata kagere ambaye anaogopwa sana kikosini hamfikii
Tukienda kitakwimu huyo Ambundo wako hamfikii Dilunga labda unaongelea ushabiki. Dilunga ashathibitisha ubora wake kwenye mechi kubwa na muhimu. Kennedy aliefit ni zaidi ya huyo Job.Kennedy Anachomzidi Job Ni Urefu Tu, Dilunga Anachomzidi Ambundo Labda Mwili.... Lakini Tukija Uwanjani Hao Watu Ulowataja Hawawazidi Chochote Niliokutajia.
Dilunga ashathibitisha ubora wake kwenye mechi kubwa na muhimu, huo ubora wa Ambundo ni kwa takwimu zipi?Mkuu Umelala Sana Jitahidi Uamke.
Mi Nadhani Nilishakujibu Apo Juu...Vinginevyo Tuache Mechi Ziendelee Tuone.Tukienda kitakwimu huyo Ambundo wako hamfikii Dilunga labda unaongelea ushabiki. Dilunga ashathibitisha ubora wake kwenye mechi kubwa na muhimu. Kennedy aliefit ni zaidi ya huyo Job.
Pia nilishakuambia Dilunga ashathibitisha ubora wake kwa hiyo hasubirii mechi kuthibitisha ubora wake..Nina uhakika huwezi kutaja kikubwa alichofanya huyo Ambundo kumzidi Dilunga.Mi Nadhani Nilishakujibu Apo Juu...Vinginevyo Tuache Mechi Ziendelee Tuone.
Wewe ni wale wa kudanganywa na Watangazaji wa mpira sio? Hao Wachezaji walithibitisha wapi ubora wao? Waliwahi kufanya nini katika continental football, iwe na vilabu vyao au timu ya taifa?Beki 3 Bora wa Muda wote? Tuwaweke wapi Twaha Hamidu na Kenneth Mkapa?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Ambrosi sio Beki ila Kuna baadhi ya mechi uwa anachezeshwa wingback kama Faridi Musa sio Beki asilia ila hivi karibuni amechezeshwa wing back.Ambros mbona ni beki 2 umri umeenda. afu huyo Mangalo uwezo wa kawaida sana angekaa sana benchi
Jamaa anajua sema beki mbili yupo kibwana. na wingback bacca anacheza vizuri ni muda tu ataingia kwenye mfumo wa timu.Ambrosi sio Beki ila Kuna baadhi ya mechi uwa anachezeshwa wingback kama Faridi Musa sio Beki asilia ila hivi karibuni amechezeshwa wing back.
Nauamini kwa sababu upo, huyo jamaa mganga wake yuko Bagamoyo nimeshampelekea mara mbili hukoUsiamin uchawi
Kwa nini usiwapeleke na wengine ili wawe kaka yeye au bora zaidi yake?Nauamini kwa sababu upo, huyo jamaa mganga wake yuko Bagamoyo nimeshampelekea mara mbili huko