Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Beki 3 Bora wa Muda wote? Tuwaweke wapi Twaha Hamidu na Kenneth Mkapa?Hivi nikisema huyu ndo namba tatu bora wa muda wote kt ligi kuu ya Tanzania bara nitakuwa nimekosea? Huyu jamaa amecheza kwa kiwango bora kwa misimu karibia kumi mfululizo, amecheza timu ya Taifa mara nyingi mno, ni mchezaji bora sana katika nchi hii.
Nasikitika haheshimiwi, sifa wanapewa wengine yeye anarukwa, tafadhalin sana wanasoka tumpe heshima huyu kijana, sio rahis kupata mchezaji wa kariba yake kwa miaka hii ya karibuni.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app