Mohamed Hussein 'Zimbwe' aheshimiwe

Mohamed Hussein 'Zimbwe' aheshimiwe

Hivi nikisema huyu ndo namba tatu bora wa muda wote kt ligi kuu ya Tanzania bara nitakuwa nimekosea? Huyu jamaa amecheza kwa kiwango bora kwa misimu karibia kumi mfululizo, amecheza timu ya Taifa mara nyingi mno, ni mchezaji bora sana katika nchi hii.

Nasikitika haheshimiwi, sifa wanapewa wengine yeye anarukwa, tafadhalin sana wanasoka tumpe heshima huyu kijana, sio rahis kupata mchezaji wa kariba yake kwa miaka hii ya karibuni.
Beki 3 Bora wa Muda wote? Tuwaweke wapi Twaha Hamidu na Kenneth Mkapa?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Yanga lakini Kuna jamaa wa biashara anacheza namba 7 Renatus Ambrosi na Beki wa Kati wa biashara Abdulmajid Mangalo awa jamaa kwasasa wanastahili kuitwa timu ya Taifa.
Uyu Renatus hana mambo mengi yaani angekua Yanga, Mayele angesha fikisha goli 15 mbaka Sasa za ligi kuu.
Ambros mbona ni beki 2 umri umeenda. afu huyo Mangalo uwezo wa kawaida sana angekaa sana benchi
 
Hujakosea....! Kimsingi Kwa Tanzania hasa miaka Ya Karibuni Wachezaji bora Wa muda wote karibia namba Zote Wanapatikana Simba tu...!

Nakaribisha povu Kutoka Kwa 'Machale Championi' wa Bongo ..!
Aka utopwinyo
 
Mimi ni Yanga lakini Kuna jamaa wa biashara anacheza namba 7 Renatus Ambrosi na Beki wa Kati wa biashara Abdulmajid Mangalo awa jamaa kwasasa wanastahili kuitwa timu ya Taifa.
Uyu Renatus hana mambo mengi yaani angekua Yanga, Mayele angesha fikisha goli 15 mbaka Sasa za ligi kuu.
Ni Kweli Hao Jamaa Wako Vizuri Hasa Huyo Beki Mangalo, Mayele Izo Goli Angefikisha Kama Angeongeza Umakini Kidogo Akiwa Kwenye Box..Mfano Kama Ile Nafasi Aliyopoteza Mechi Na Geita Gold Alikuwa 95% Ya Kuweka Mpira Kambani Na Tungepata Goli La Pili Pale.
 
Kennedy Anachomzidi Job Ni Urefu Tu, Dilunga Anachomzidi Ambundo Labda Mwili.... Lakini Tukija Uwanjani Hao Watu Ulowataja Hawawazidi Chochote Niliokutajia.
Tukienda kitakwimu huyo Ambundo wako hamfikii Dilunga labda unaongelea ushabiki. Dilunga ashathibitisha ubora wake kwenye mechi kubwa na muhimu. Kennedy aliefit ni zaidi ya huyo Job.
 
Tukienda kitakwimu huyo Ambundo wako hamfikii Dilunga labda unaongelea ushabiki. Dilunga ashathibitisha ubora wake kwenye mechi kubwa na muhimu. Kennedy aliefit ni zaidi ya huyo Job.
Mi Nadhani Nilishakujibu Apo Juu...Vinginevyo Tuache Mechi Ziendelee Tuone.
 
Mi Nadhani Nilishakujibu Apo Juu...Vinginevyo Tuache Mechi Ziendelee Tuone.
Pia nilishakuambia Dilunga ashathibitisha ubora wake kwa hiyo hasubirii mechi kuthibitisha ubora wake..Nina uhakika huwezi kutaja kikubwa alichofanya huyo Ambundo kumzidi Dilunga.
 
Ambros mbona ni beki 2 umri umeenda. afu huyo Mangalo uwezo wa kawaida sana angekaa sana benchi
Ambrosi sio Beki ila Kuna baadhi ya mechi uwa anachezeshwa wingback kama Faridi Musa sio Beki asilia ila hivi karibuni amechezeshwa wing back.
 
Ambrosi sio Beki ila Kuna baadhi ya mechi uwa anachezeshwa wingback kama Faridi Musa sio Beki asilia ila hivi karibuni amechezeshwa wing back.
Jamaa anajua sema beki mbili yupo kibwana. na wingback bacca anacheza vizuri ni muda tu ataingia kwenye mfumo wa timu.
 
Ngoja yanga waje na kibwana shomari hapa kusanya nguo kabisa
 
Nauamini kwa sababu upo, huyo jamaa mganga wake yuko Bagamoyo nimeshampelekea mara mbili huko
Kwa nini usiwapeleke na wengine ili wawe kaka yeye au bora zaidi yake?

Ni ujinga kuamini Eti Uchawi unacheza Mpira! Rukwa au Kigoma wangekuwa vinara wa soka!
 
Back
Top Bottom