Mohamed Janabi, endelea kuelimisha

Mohamed Janabi, endelea kuelimisha

Siufuati sana ushauri wa Dr Bingwa lakini ukimbaumbau wangu ni asili hauna mahusiano kabisa na kufuata maelekezo ya kiafya japo najali afya yangu. Lites sinywi Kwa sababu binafsi na haihusiani na afya. Yaani hata unitumbukize kwenye pipa la korie, natoka vilevile
Kweli Mkuu? Sasa wewe unatumia ,nini hasa?
 
Wakati unafanya haya wataaalamu wenzio waliobobea wapo kimya huku jamii ikiumizwa na magonjwa mbalimbali na pia ikihujumiwa na wajanja wasio na huruma.
Walikuwa na Programme moja nadhani iliongozwa na Prof. Swai kama sikosei, walizunguka mikoani kwenye taasisi mbalimbali kuelimisha juu ya haya mambo, ilisaidia sana wengi tulijifunza mazuri mengi kwa hiyo crew
 
Wangapi leo asubuhi mmekunywa chai? Mlikunywa chai kwasababu mlikua mnaskia njaa au kwasababu ni mazoea tu lazima mnywe chai? Inabidi tubadilike ule pale tu unaposkia njaa na siyo kula hovyo bila mpangilio

Maneno Janabi akiwashauri waandishi wa habari
Nlishikwa njaa
 
Wine Mara moja moja sana. Juice, soda, malt, red bull, maji na nikipata togwa hua inanibariki zaidi.

Vyakula nakula vyote kasoro nyamafu ( aliyejifia bila kuchinjwa)
Red bull ni energy..

Okay angalau unapiga wine..vizuri sana Mkuu!

Mm lites na wine, na kwakuwa Leo ni siku ya mapumziko mapeeema za baridi
 
Red bull ni energy..

Okay angalau unapiga wine..vizuri sana Mkuu!

Mm lites na wine, na kwakuwa Leo ni siku ya mapumziko mapeeema za baridi
Kikubwa fanya Kwa kiasi. Usiunyime moyo furaha. Maisha ni kula na kunywa.
Karibu tupate kifungua kinywa.
IMG20240112100439.jpg
 
Kiukweli Watanzania kwenye kujali afya bado sana tunakula bila mpangilio tunaona kula vyakula vingi ndio ufahari baadala ya kula mlo kamili hata kama unapesa
 
Back
Top Bottom