Kweli Mkuu? Sasa wewe unatumia ,nini hasa?Siufuati sana ushauri wa Dr Bingwa lakini ukimbaumbau wangu ni asili hauna mahusiano kabisa na kufuata maelekezo ya kiafya japo najali afya yangu. Lites sinywi Kwa sababu binafsi na haihusiani na afya. Yaani hata unitumbukize kwenye pipa la korie, natoka vilevile
Walikuwa na Programme moja nadhani iliongozwa na Prof. Swai kama sikosei, walizunguka mikoani kwenye taasisi mbalimbali kuelimisha juu ya haya mambo, ilisaidia sana wengi tulijifunza mazuri mengi kwa hiyo crewWakati unafanya haya wataaalamu wenzio waliobobea wapo kimya huku jamii ikiumizwa na magonjwa mbalimbali na pia ikihujumiwa na wajanja wasio na huruma.
Wine Mara moja moja sana. Juice, soda, malt, red bull, maji na nikipata togwa hua inanibariki zaidi.Kweli Mkuu? Sasa wewe unatumia ,nini hasa?
Nlishikwa njaaWangapi leo asubuhi mmekunywa chai? Mlikunywa chai kwasababu mlikua mnaskia njaa au kwasababu ni mazoea tu lazima mnywe chai? Inabidi tubadilike ule pale tu unaposkia njaa na siyo kula hovyo bila mpangilio
Maneno Janabi akiwashauri waandishi wa habari
Red bull ni energy..Wine Mara moja moja sana. Juice, soda, malt, red bull, maji na nikipata togwa hua inanibariki zaidi.
Vyakula nakula vyote kasoro nyamafu ( aliyejifia bila kuchinjwa)
Umekalia ubishi tuAanze na afya yake kwanza.
Kikubwa fanya Kwa kiasi. Usiunyime moyo furaha. Maisha ni kula na kunywa.Red bull ni energy..
Okay angalau unapiga wine..vizuri sana Mkuu!
Mm lites na wine, na kwakuwa Leo ni siku ya mapumziko mapeeema za baridi
Una kipaji kikubwa sana ila ujajijua tu.Aanze na afya yake kwanza.
Asante sana Mkuu! Safi sanaKikubwa fanya Kwa kiasi. Usiunyime moyo furaha. Maisha ni kula na kunywa.
Karibu tupate kifungua kinywa.View attachment 2869425