Mohamed Kibao: Hakuna mtu anayestahili kuuawa kinyama kiasi kile

Mohamed Kibao: Hakuna mtu anayestahili kuuawa kinyama kiasi kile

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Sisi kama familia tumejitahidi sana kutenganisha matukio haya na siasa ndio maana atuongeleni kuhusu CCM. Lakini haijalishi mtazamo wake wa kisiasa, haijalishi alikuwa anafanya kazi na nani hakuna anayestahili kupitia aliyo yapitia yeye. Amesema Mohamed Ali Kibao

 
Familia ya mzee Kibao, karibuni kwenye maandamano ya D25
 
Marehem kibao ni mjeda mstaafu,haya mambo yatazamwe kwa macho mengi
 
Marehem kibao ni mjeda mstaafu,haya mambo yatazamwe kwa macho mengi

..Mzee Kibao hakuwa mwanajeshi mstaafu.

..huenda alipigana vita vya Kagera toka kundi la vijana waliokuwa JKT kwa mujibu wa sheria.

..mwanae ameeleza kwamba Mzee Kibao aliwahi kuwa Katibu Mwenezi wa Ccm wilaya ya Handeni.
 
Back
Top Bottom