Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
D25Sisi kama familia tumejitahidi sana kutenganisha matukio haya na siasa ndio maana atuongeleni kuhusu CCM. Lakini haijalishi mtazamo wake wa kisiasa, haijalishi alikuwa anafanya kazi na nani hakuna anayestahili kupitia aliyo yapitia yeye. Amesema Mohamed Ali Kibao
Umeanza kupata akili?Marehem kibao ni mjeda mstaafu,haya mambo yatazamwe kwa macho mengi
Marehem kibao ni mjeda mstaafu,haya mambo yatazamwe kwa macho mengi