covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 8,355
- 20,792
Wabongo Sijui tunafail wapi umeshaambiwa eneo alilokuwa anataka na akalipata ni eneo ambalo mhe. Rais alikuwa amelifuta umiliki wake sasa yeye akatumia chance hiyo kuwarubuni watendaji wa mkoa kwa rushwa ili amiliki yeye ekali 1000..Mpaka sasa sijaona kosa lolote la bwana kiluwa,huyu bwana si mtendaji wa serikali alifuta taratibu zote za serikali katika kulifanikisha hili,wala hakumchukua mtu yeyote mateka ili asaini documents,kama kuna japo lilikiukwa ,ilikuwa wajibu wa watendaji kulijua.
Kisheria kiluwa hakutakiwa kunyang'anywa bali kufanyiwa mahesabu upya,halafu jambo la pili,watendaji wote waliohusika na hili wawajibishwe amiwemo RC
Kinyume na taratibu na sheria za serikali inshort jamaa ni broker WA wawekezaji WA nje tataizo lake anatamaa ya kupiga pesa ndefuu kwa mpigoo sasa balaa ndio limemkuta serikali imempokonya hizo ekali 1000 alizo Zapata kwa njia zake za panya tena kwa pesa za watu (wawekezaji hao).
Kwahiyo watadaiana huko wenyewe kwa wenyewe. Inshort deal limeingia mdudu.