Mohamed Kiluwa kashindwa kuendana na zama hizi

Wabongo Sijui tunafail wapi umeshaambiwa eneo alilokuwa anataka na akalipata ni eneo ambalo mhe. Rais alikuwa amelifuta umiliki wake sasa yeye akatumia chance hiyo kuwarubuni watendaji wa mkoa kwa rushwa ili amiliki yeye ekali 1000..

Kinyume na taratibu na sheria za serikali inshort jamaa ni broker WA wawekezaji WA nje tataizo lake anatamaa ya kupiga pesa ndefuu kwa mpigoo sasa balaa ndio limemkuta serikali imempokonya hizo ekali 1000 alizo Zapata kwa njia zake za panya tena kwa pesa za watu (wawekezaji hao).

Kwahiyo watadaiana huko wenyewe kwa wenyewe. Inshort deal limeingia mdudu.
 
Jana hajalala.. yaani hata mjusi akitikisa mlango anajua wamekuja kimbeba.[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna usemi kuwa ukikaa katika nyumba ya vioo usianzishe mchezo wa kurusha mawe
 
Ni dalali wa ardhi na mgawa rushwa !
 
Kwa hiy
Tatizo naona ana share ndogo kulinganisha na wamiliki wenza. Anakuwa hana mamlaka na Maamuzi ya kampuni.ila hata mimi sioni tatizo la Partnership, kosa lingine wanadai alinunua ardhi kwa 1m badala ya 5.8m
hiyO sababu ya ardhi mnataka hata kuuondoa uwekezaji wake, hii ni tanzania hovyo kabisa
 
Stone ages life killing everybody here in homeland.. Somebody with big cash but still witching in daylight hahaahaha..
 
Hahaha mbona hawaruhusu na wao walalamikiwe? wao wanashutumu wenzao tu. Ukiona hivyo hakutoa 10% kwa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…