BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) kesho Jumatatu Mei 20, 2024 ataanza ziara mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo na kutatua kero za wananchi.
TAMISEMI ni Wizara Injini ya Taifa inayomgusa kila mwananchi na Mtu Kazi yuko kazini kufanya kazi za wananchi.
#TamisemiyaWananchi
TAMISEMI ni Wizara Injini ya Taifa inayomgusa kila mwananchi na Mtu Kazi yuko kazini kufanya kazi za wananchi.
#TamisemiyaWananchi