Mohamed Mwameja: Siwezi kumsamehe Muhidin Ndolanga

Mohamed Mwameja: Siwezi kumsamehe Muhidin Ndolanga

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
" Mwaka 96 nikiwa South Africa kuna mdau wa Jomo Cosmos aliniona akanifuata hotelini kwangu akaniuliza kama Nina wakala nikamwambia sina.

Akaniambia Mimi Nina Shida ya Goal Keeper kwenye timu yangu Lakini Uingereza Kuna timu pia inahitaji kipa ( Reading FC wakiwa daraja la TATU ) Kwa hiyo ninafanya mpango baada ya wiki moja nitakutumia pesa uje South u sign Jomo Cosmos then nikupeleke Reading UK ukiwa kama mchezaji wa Jomo Cosmos.

Mwameja aliomba Dola elfu kumi Jamaa akawambia atamtumia Kwanza Dola elfu sita halafu dola.elfu nne itakayo Baki atapewa Akisha fika Sauz.

Hiyo dola.elfu sita ilitumwa kwangu kupitia Fat, Fat wakaizuia hiyo pesa wakisema wanaidai Simba Kwa hiyo wamekata Deni Lao.

Nili mind Sana suala Hilo na nilipishana kauli na Ndolanga na baadhi ya viongozi WA Simba ambao walionekana kusapoti ujinga Huo.

Nilienda Sauz kinyonge sana Kwa kulazimika kutafuta pesa yangu mwenyewe kumlipia tiketi ya ndege, nikifika Sauz nikiwa nimechelewa so Jamaa WA Jomo akasema inabidi niende Kwanza UK nikafanye training na Reading Kwa sababu walikua Wana nihitaji Kwa wakati Huo na nilikuwa nje ya muda..

Kufika UK nikafanya training na kweli nikafaulu so ikabaki kusign mkataba.

Reading walihitaji nipate kitu kinaitwa ITC (International Training Certificate) kupiga simu Tz Ndolanga na Rage wakabana.

Nilikuwa stressed sana nikarudi bongo na kwenda Hadi office za Fat. Tulipishana maneno na Ndolanga, Rage akapiga simu polisi waje wanichukue Lakini polisi walivyo fika na kugundua NI Mimi na baada ya Mimi kuwaeleza chanzo cha Ndolanga kunifanyia fitna wali amua tumalizane wenyewe kwenye vikao vyetu

Rage aliwahi kuniita wakati Fulani akaniomba msamaha but Ndolanga sintoweza kumsamehe daima.

Nikisema nimemsamehe nitakuwa mnafiki. Siwezi kumsamehe Kwa sababu ameniharibia maisha.

# Mungu' ampe subra kaka yetu Mohamed Mwameja.
 
Bila wazandiki hawa waliyokuwa wakijifanya viongozi, Tanzania ingekuwa na Wachezaji wengi wa kulipwa wanaocheza Ulaya. Soka letu lilikuwa limenajisiwa sana kwa kinyesi, amnapo sasa hivi kimetoka ila bado limenajisiwa na mkojo
 
A classic one sided story. Na ni somo zito juu ya kutovunja madaraja ukishayavuka.

Kadhulumiwa dola 6,000/= , sawa kama ni kweli, halafu akatukanana nao.

Katafuta njia mbadala kaondoka. Kafika mbele kakuta anahitaji watu hao hao wamchongee vyeti ambavyo hana!

Leo analaumu wamemharibia maisha yake wakati yeye mwenyewe ndio alitukanana nao na alikuwa hana vyeti, akawahitaji!
 
Ukiona mtu anazeeka na kuzalilika, ujue aliyoyatenda enzi za nguvu zake hayakuwa yaliyo mema, mshauri atubu haraka sana.
 
A classic one sided story. Na ni somo zito juu ya kutovunja madaraja ukishayavuka.

Kadhulumiwa dola 6,000/= , sawa kama ni kweli, katukanana nao.

Katafuta njia mbadala kaondoka. Kafika mbele kakuta anahitaji watu hao hao wamchongee vyeti ambavyo hana!

Leo analaumu wamemharibia maisha yake wakati yeye mwenyewe ndio alikuwa hana vyeti!
Acha kuwatetea wapuuzi, deni la simba atalipaje mwameja? Hata mi ningewatukana tu, unazani asingewatukana ndio wangempa hivyo vyeti? Mtu katumiwa nauli mmekula ni wazi mlikuwa hamtaki aende
 
Back
Top Bottom