Mohamed Mwameja: Siwezi kumsamehe Muhidin Ndolanga

Mohamed Mwameja: Siwezi kumsamehe Muhidin Ndolanga

You are quite right mkuu, this is one sided story. Na wala haipo hivyo kwa ninavyoelewa. Mchawi wa Mwameja kwenye hiyo deal alikua ni Kasim Dewji aliyetaka kumzunguuka Jomo Sono ambaye ndio angekua wakala wake. Kasim alimdanganya Mwameja waachane na connections za Sono na wakaenda wao wenyewe Readings ili Kassim apige pesa. Readings wakafanya mawasialiano na Jomo Sono ambaye alishangaa imekuaje huyo mchezaji kaenda huko bila kumtaarifu na akajiondoa kumdhamini

Wazungu ni watu wa kufata protocol hasa za reference. Jomo Sono alivojitoa nao wakaacha kumpa mkataba Mwameja na kupelekea yeye kukaa Uingereza akifanya shughuli zisizohusiana na soka.Ka simu Dewji akajirudia zake kimyakimya. Hivyo vikwazo anavyodai aliwekewa na Rage na Ndolanga ni kweli lakini lakini havikua sababu ya yeye kukwamishwa bali deal ilikua imeshaharibiwa na Kasim Dewji kwa ujuaji wake.

Pia Mwameja anaposema hatamsamehe Ndolanga anakosea sana. Mbona yeye wanachama, mashabiki wa Simba na Watanzania kwa ujumla walishamsamehe kwa dhambi yao ya kuuza mechi ya fainali ya Kombe la Washindi Barani Afrika kati yao na Stella Abidjan? Au anadhani tumesahau?
Mashabiki wa Simba mpaka leo hawataki kumsikia Bolizozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A classic one sided story. Na ni somo zito juu ya kutovunja madaraja ukishayavuka.

Kadhulumiwa dola 6,000/= , sawa kama ni kweli, katukanana nao.

Katafuta njia mbadala kaondoka. Kafika mbele kakuta anahitaji watu hao hao wamchongee vyeti ambavyo hana!

Leo analaumu wamemharibia maisha yake wakati yeye mwenyewe ndio alikuwa hana vyeti!
Baba ako amepata hasara sana kuzaa Toto km Wew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Tanzania one. Binadamu wana roho za Korosho.
 
A classic one sided story. Na ni somo zito juu ya kutovunja madaraja ukishayavuka.

Kadhulumiwa dola 6,000/= , sawa kama ni kweli, halafu akatukanana nao.

Katafuta njia mbadala kaondoka. Kafika mbele kakuta anahitaji watu hao hao wamchongee vyeti ambavyo hana!

Leo analaumu wamemharibia maisha yake wakati yeye mwenyewe ndio alikuwa hana vyeti!
Kitu gani Unashindwa kuelewa hapo? Ndolanga na Rage ni Simba, Mwameja alikua Mchezaji tegemeo Simba, so hawakutaka kumwachia, Ukizingatia Mechi ya Simba na Yanga Ilikua jirani.
 
A classic one sided story. Na ni somo zito juu ya kutovunja madaraja ukishayavuka.

Kadhulumiwa dola 6,000/=, sawa kama ni kweli, halafu akatukanana nao.

Katafuta njia mbadala kaondoka. Kafika mbele kakuta anahitaji watu hao hao wamchongee vyeti ambavyo hana!

Leo analaumu wamemharibia maisha yake wakati yeye mwenyewe ndio alikuwa hana vyeti!
Una ujumbe mzuri wa kutovunja Madaraja ila Nina Mashaka kama Unaijua ITC, sio cheti kama cha Shule kusema unakuwa nacho tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ujumbe mzuri wa kutovunja Madaraja ila Nina Mashaka kama Unaijua ITC, sio cheti kama cha Shule kusema unakuwa nacho tu

Sawa, basi tusaidie tafadhali:

International Training Certificate ni nini, barua ya utambulisho ?
 
Lazima uumie roho ndugu yangu mwameja maana ukiwacheki akina kaseja wanadaka kibongo bongo wanatembelea athlete wewe hats passo huna lzm uumie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mwameja ni kati ya wachezaji wa kibongo ambao wanamiliki malori makubwa na majumba kibao. Anaweza kuwa anazidiwa pesa na Samata tu na jamaa mmoja wa Kihaya aliwahi kucheza Simba somobody Rubibira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unazungumziaje suala la Moses Odhiambo kukosa kushindwa kusafiri na timu kwenda Nigeria wakati alikuwa mchezaji tegemezi wa Simba?

Hii nayo haikuwa hujuma ya kina Wambura kweli ?
Mkuu LIKUD, Mwameja hawezi kusema hilo jambo. Ukweli ni kwamba Azim Dewji alihujumu ile mechi na kufanya wachezaji akiwemo Mwameja wacheze chini ya kiwango.

Kuna kipindi marehemu Ramadhani Lenny Maufi alikwenda nyumbani kwa Azim kudai pesa zake na akatishia kua kama angeendelea kuzunguushwa basi angeelezea umma kilichotokea kwenye mechi ile. Lenny hakuwahi kusema kwasababu aliitwa na kulipwa chake. Hawa kina Dewji wamechezea sana hisia za wanamsimbazi kwa muda mrefu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom