Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funguka zaidi mkuu kuhusu hiyo Qunuut ya Wazee kwa Azim DewjiHiyo mechi aliuza Azim Dewji sio Mwameja ndio maana unaona hakuna madhara yaliyompata ila uliza kilichotokea kwa Azim baada ya wazee kupiga kunuti
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma historia mara baada ya mchezo na Stelah ya Boli Zozo kuna kipi kilitokea Simba ya BamchawiFunguka zaidi mkuu kuhusu hiyo Qunuut ya Wazee Kwa Azim Dewji
We funguka Tu mkuu hiyo historia ntaipata wapi?Soma historia mara baada ya mchezo na Stelah ya Boli Zozo kuna kipi kilitokea Simba ya Bamchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie nisingesamehe." Mwaka 96 nikiwa South Africa kuna mdau wa Jomo Cosmos aliniona akanifuata hotelini kwangu akaniuliza kama Nina wakala nikamwambia sina.
Akaniambia Mimi Nina Shida ya Goal Keeper kwenye timu yangu Lakini Uingereza Kuna timu pia inahitaji kipa ( Reading FC wakiwa daraja la TATU ) Kwa hiyo ninafanya mpango baada ya wiki moja nitakutumia pesa uje South u sign Jomo Cosmos then nikupeleke Reading UK ukiwa kama mchezaji wa Jomo Cosmos.
Mwameja aliomba Dola elfu kumi Jamaa akawambia atamtumia Kwanza Dola elfu sita halafu dola.elfu nne itakayo Baki atapewa Akisha fika Sauz.
Hiyo dola.elfu sita ilitumwa kwangu kupitia Fat, Fat wakaizuia hiyo pesa wakisema wanaidai Simba Kwa hiyo wamekata Deni Lao.
Nili mind Sana suala Hilo na nilipishana kauli na Ndolanga na baadhi ya viongozi WA Simba ambao walionekana kusapoti ujinga Huo.
Nilienda Sauz kinyonge sana Kwa kulazimika kutafuta pesa yangu mwenyewe kumlipia tiketi ya ndege, nikifika Sauz nikiwa nimechelewa so Jamaa WA Jomo akasema inabidi niende Kwanza UK nikafanye training na Reading Kwa sababu walikua Wana nihitaji Kwa wakati Huo na nilikuwa nje ya muda..
Kufika UK nikafanya training na kweli nikafaulu so ikabaki kusign mkataba.
Reading walihitaji nipate kitu kinaitwa ITC ( International Training Certificate) kupiga simu Tz Ndolanga na Rage wakabana.
Nilikuwa stressed sana nikarudi bongo na kwenda Hadi office za Fat. Tulipishana maneno na Ndolanga, Rage akapiga simu polisi waje wanichukue Lakini polisi walivyo fika na kugundua NI Mimi na baada ya Mimi kuwaeleza chanzo cha Ndolanga kunifanyia fitna wali amua tumalizane wenyewe kwenye vikao vyetu
Rage aliwahi kuniita wakati Fulani akaniomba msamaha but Ndolanga sintoweza kumsamehe daima.
Nikisema nimemsamehe nitakuwa mnafiki. Siwezi kumsamehe Kwa sababu ameniharibia maisha.
# Mungu' ampe subra Kaka yetu Mohamed Mwameja.
Mnakumbuka mwaka 1998, Yanga waliingia makundi klabu bingwa wa Afrika,Caf waliwapa Yanga takribani million Mia mbili na ushee,Ndolanga na Rage waliupiga juu kwa juu mkwanja wa Yanga,na kutoka madai mbalimbali ya kuwa wao(FAT)wanawadai pesa nyingi wana wa jangwani,kwa hiyo hawastahili kudai chochote.ndolanga na rage ni viongozi wa ovyo waliowahi kuongoza mpira Tanzania
Ana gesti pia nzuri ipo yombo vituka.. na anaishi nyumba nzuri tu ya kwake
Safi sanaMwameja Yupo vizuri tu,nakumbuka miaka ile ya 90,alivyo mbadilishia mama yake Makazi pale kitaani Msambweni Tanga..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepaniki kumlaumu harakaharaka labda hukumuelewa. Anamaanisha siku alipodhulumiwa ilitakiwa asitukanane nao kwa sababu bado watu haohao akifuzu ndo ilitakiwa wamtayarishie hiyo ITC.
Mwameja alikuwa kama mtoto at that mean time. Kwa nini mkamtreat kwa kumkomoa wakati nyie pale ni kama wazazi?Kingekuwa ni kitambulisho cha NIDA angekipata kwa nguvu!
Hiki ni kitu kinachotoka kwa hiari, kwa magumashi, ambacho Mwameja alitaka FAT wamchongee wamtumie, wakati washatukanana, wakampiga chini!
South Afrika hawakutaka mifarakano na FAT wala Simba, wamenunua mchezaji wakatuma hela FAT na ujumbe hii hela pelekeni Simba. FAT kabla ya kuwaambia tuna hela yenu mkononi wakakumbusha deni lao, Simba wakazingua, FAT wakakaza hukumu!
Mwameja kawatukana, kaondoka kibaharia. Yakamkuta mbele. Anakuja kulia leo.
Ndolanga na Rage nadhani pia walikuwa wachawi ." Mwaka 96 nikiwa South Africa kuna mdau wa Jomo Cosmos aliniona akanifuata hotelini kwangu akaniuliza kama Nina wakala nikamwambia sina.