Kilichotokea baada ya Wazee kupiga so called kunuti mtoto wake Mo Dewji akaiitwaa Simba.Hiyo mechi aliuza Azim Dewji sio Mwameja ndio maana unaona hakuna madhara yaliyompata ila uliza kilichotokea kwa Azim baada ya wazee kupiga kunuti
Sent using Jamii Forums mobile app
we nawe sijui wa wapi?A classic one sided story. Na ni somo zito juu ya kutovunja madaraja ukishayavuka.
Kadhulumiwa dola 6,000/= , sawa kama ni kweli, halafu akatukanana nao.
Katafuta njia mbadala kaondoka. Kafika mbele kakuta anahitaji watu hao hao wamchongee vyeti ambavyo hana!
Leo analaumu wamemharibia maisha yake wakati yeye mwenyewe ndio alikuwa hana vyeti!
Ndolanga ni chenge wa kwenye mpiraSio WA mchezo mchezo Yule Mzee. Huwezi kuwa Mwenyekiti Fat kiboya boya