Mohamed Mwameja: Siwezi kumsamehe Muhidin Ndolanga

Mohamed Mwameja: Siwezi kumsamehe Muhidin Ndolanga

Wakuu aneijua vizuri historia ya hujuma dhidi ya Simba kwa mwaka 1990 na 2004 atupe
 
Safi sana kwa kuekezea dukuduku lako,komaa naye mpaka motoni na roho mbaya yake
Nalog off
 
Huyu ndolanga juzi kafanyiwa mahojiano na mwanaspoti huku wakimpamba Kama shujaa Fulani. Kumbe binge la jizi
 
A classic one sided story. Na ni somo zito juu ya kutovunja madaraja ukishayavuka.

Kadhulumiwa dola 6,000/= , sawa kama ni kweli, halafu akatukanana nao.

Katafuta njia mbadala kaondoka. Kafika mbele kakuta anahitaji watu hao hao wamchongee vyeti ambavyo hana!

Leo analaumu wamemharibia maisha yake wakati yeye mwenyewe ndio alikuwa hana vyeti!
we nawe sijui wa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FAT ilijaa watu wenye Roho za kwanini?
FAT wangekuwa wanafanya Kazi kwa uadilifu mpk Sasa Tanzania ingekuwa na wakina samatta kama 200 hivi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote waliuchezea mpira wetu wote wapo simba, ndolanga,rage, kapuya, salungi, Micheal Wambura, kaduguda,Othman Nazi,nk.
Mzee kilomoni tutamkumbuka kuhusu familia ya dewji
 
ITC SIO INTERNATIONAL TRAINING CERTIFICATE BALI INTERNATIONAL TRANSFER CERTIFICATE,.....
 
Back
Top Bottom