mzee hyo historia ya uchaggan unaijua robo na unapozungumzia wachagga ni wenyeji wanaozunguka mlima Kilimanjaro. sio hapo machame tu. ndio maana nikakuuliza unamjua Mangi Tatua? kama unahtaji kujua historia ya uchaggan niambie nikuletee vitabu vipo mzee. ila point yangu inarud pale pale. wewe sio mwanahistoria ila ni msimuliz wa hadith za kiislam. historia unatakiwa utuambie wapigania uhuru Kinjikitile Ngwale na wenzie walichofanya akina Mkwawa akina chief Mangungo mpaka akina Nyerere. ndio historia hyo huwez kuikwepa kama nia yako unataka tujue wazee wetu walivyoipambania nchi yao. sasa ukianza kuja hapa unalialia na kuchagua watu unaodhan walistahili kuwepo kwenye historia ila wamesahaulika unapoteza mantik. mi wala ckushangai maana unadhan ukishaandika kitabu unahc ni jambo kubwa sana kias kwamba utakiwi kuhojiwa mantik ya unachoandika. nakusih nenda kaandike upya maana nakuona ni kama kuna kitu unataka kuandika kizur lakn umefunikwa na gamba la udini. unakosa kubalance stor yako matokeo yake wateja wako weng wanakuwa wa pale pale unaposali.Sarri,
Hebu soma kipande hiki hapo chini:
''Mboyo Sisya akawa Jemadari wa Vita kwanza kwa Renguo kisha kwa mwanaye Renguo, Mangi Mamkinga aliyetawala kuanzia (1840 โ 1858).
Na baada ya kufariki Mangi Mamkinga akawa sasa chini ya Mangi Ndeseruo aliyechukua utawala mwaka wa 1858.[1]
Mtoto wa Mboyo Sisya, Kirama Muro na yeye kama wazee wake waliomtangulia akawa jemadari wa Vita wa Mangi Ngulelo mtoto wa Ndeseruo.
Bahati mbaya sana mwandishi wa historia hii inayoanza na Sisya Mshahu kama ilivoelezwa awali hajulikani wala karatasi hizi hazina tarehe.
Kwa ajili hii basi imekuwa vigumu kujua lini ziliandikwa na nani mwandishi wake.
Lakini kuna viashiria vinavyoonesha kuwa mwandishi wa karatasi hizi tatu; zilizoandikwa kwa hati ya mkono; na kukutwa katika gunia la nyaraka za Kirama Muro; katika dari ya nyumba ya mmoja wa kitukuu cha Sisya; ambaye ni mjukuu wa Kirama atakuwa ameishi wakati wa Kirama Muro kwani hakuna vinginevyo ambapo angeliweza kuyajua haya yote ila kwa kuhadithiwa.
Bila shaka mwandishi huyu atakuwa mtoto wa Kirama aliyezaliwa mwishoni kwa miaka ya 1800 wakati Wamishionari wameshaingia Uchaggani na kuanzisha shule na katika moja ya shule hizi ndipo Wachagga walipoanza kujifunza kusoma na kuandika.''
[1] Angalia J.C. Winter, Dictionary of African Biography, Oxford University Press, New York, 2011 uk.194.
View attachment 2045456
Mstari wa mbele wa pili ni Mangi Mkuu Thomas Marealle, Mzee rajabu Ibrahim Kirama na Petro Njau aliyekuwa mwandishi wa Mzee Kirama, 1952.
Rajabu Kirama alimsaidia sana Mangi Mkuu Thomas Marealle katika kushinda kiti cha Mangi Mkuu.
we unajua walioleta hz din walichowafanyia wenyeji? au kwasabb hawa wa din asilia hawasemiLombo,
Udini ni kule kukandamiza wale wasio wa imani yako na kuwanyanyua wale wa dini yako.
Sisi historia yetu ya kupigania uhuru wa Tanganyika imefutwa mimi kuiandika ndiyo nimekuwa mdini?
Hivi ingekuwaje kama nisingeandika kitabu cha Abdul Sykes?
Tungekuwa na historia siyo.
Kueleza kubanwa katika elimu na fursa nyingine kwa ushahidi ndiyo nimekuwa mdini?
Unajua kuwa hali ni 80:20 miaka 60 baada ya uhuru?
Ndio ni ndugu yako na ajenda zake ulikuwa unakubaliana nazo?Inside,
Ilunga ni ndugu yangu si rafiki yangu.
Nimeanza kuandika nikiwa na umri mdogo sana labda miaka 25 hivi na sasa mii ni mzee nakimbilia miaka 70.
Kalamu yangu haijasabsbisha hayo unayosema na ingelikuwa hivyo publishers, yaani wachapa vitabu wangenikwepa.
Kinyume chake nimechapa vitabu vyangu na wachapaji wakubwa duniani kama Oxford Univeristy Press (OUP) na nimo katika orodha ya waandishi kutoka Afrika.
View attachment 2044568
Kitali,we unajua walioleta hz din walichowafanyia wenyeji? au kwasabb hawa wa din asilia hawasemi
Inside 10,Ndio ni ndugu yako na ajenda zake ulikuwa unakubaliana nazo?
Nijibu tafadhali
Wewe kama msomi,hutakiwi kikwepa maswali,Mimi sijauliza kama ushahiddi upon au haupo ,Lombo,
Ushahidi upo.
Unadhani mimi niko hapa kutania?
Inside 10,
Nina haki gani kumsemea mtu mwingine fikra zake?
Binadamu siku zote tutaghitilafiana.
Isitoshe mimi nimejieleza hapa vya kutosha na naamini nimeeleweka.
Wasomaji wamevuka watu 5000 hadi hii alfajir.
Katika hawa aliyenitukana ni mmoja tu aliyekuja na ghadhabu ni mmoja tu vilevile.
Kuna kama asilimia tano wanajaribu kunijibu lakini ndiyo hivyo tunaendelea na mjadala na nilichogundua ni kuwa hawaijui historia ya uhuru wa Tanganyika na mchango wa Waislam.
Waliobakia wengi sana wananisoma na wako kimya wanajifunza kile ambacho hawakupatapo kusomeshwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna watu wanashangaa kuona picha ya akina mama wamevaa mabaibui wanamsindikiza Baba wa Taifa uwanja wa ndege safari ya kwanza UNO 1955.
Wananiomba historia ya akina mama hawa vipi walijuana na Mwalimu?
Lakini juu ya yote haya kundi hili kubwa lililo kimya ndilo linalostawisha mjadala huu na hawa ndiyo ninaowalenga wajue tatizo linalokabili nchi yetu.
Wanashangaa kuona kina mama wamevaa mabaibui wanamsindikiza mwalimu...!๐๐๐ Aisee really Mzee Mohamed Said !Inside 10,
Nina haki gani kumsemea mtu mwingine fikra zake?
Binadamu siku zote tutaghitilafiana.
Isitoshe mimi nimejieleza hapa vya kutosha na naamini nimeeleweka.
Wasomaji wamevuka watu 5000 hadi hii alfajir.
Katika hawa aliyenitukana ni mmoja tu aliyekuja na ghadhabu ni mmoja tu vilevile.
Kuna kama asilimia tano wanajaribu kunijibu lakini ndiyo hivyo tunaendelea na mjadala na nilichogundua ni kuwa hawaijui historia ya uhuru wa Tanganyika na mchango wa Waislam.
Waliobakia wengi sana wananisoma na wako kimya wanajifunza kile ambacho hawakupatapo kusomeshwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna watu wanashangaa kuona picha ya akina mama wamevaa mabaibui wanamsindikiza Baba wa Taifa uwanja wa ndege safari ya kwanza UNO 1955.
Wananiomba historia ya akina mama hawa vipi walijuana na Mwalimu?
Lakini juu ya yote haya kundi hili kubwa lililo kimya ndilo linalostawisha mjadala huu na hawa ndiyo ninaowalenga wajue tatizo linalokabili nchi yetu.
Kutaka kujua idadi ya Dini Asilia ili iwe nini? Hata ikiwa moja au nyingi itahalalisha au kubatilisha nini?Kitali,
Unaijua idadi ya dini asilia?
Walipata kuwapo na kuunda chama cha siasa kupigania uhuru wa Tanganyika?
Hii leo wapo na wana maslahi yeyote katika ujenzi wa taifa hili?
Unawajua viongozi wao?
Unadhani unaweza kupambanisha hoja ya upagani na historia ya Waislam wa Afrika ya Mashariki?
Jibidiishe kusoma.
Mkuu hataa masimuliizi ya Nyerere alichokuwa anafanyiwa kule Bagamoyo na WazeewaKiaaslam' (kama anavyotaka Mzeee Mohamed Siadtuwatambue) yalikiwa no matambiko ya Dini Asili!Kutaka kujua idadi ya Dini Asilia ili iwe nini? Hata ikiwa moja au nyingi itahalalisha au kubatilisha nini?
Hivi ni kweli kabisa unatamka Taifa, halafu unahoji kuwa kuna uwezekano wa kuwa na kundi lisilo na Maslahi ya Ujenzi wa Taifa! How?
Ni nani amekuambia Harakati za Kudai Uhuru zilianza na Vyama vya Siasa tu? Unatoa wapi hoja hiyo, kwanini mnapenda kujihalalishia Ubatili?
Ukifikiri Upagani hauwezi kupambanishwa na Uislamu Kihistoria, basi Jibu swali la ni IPI HASA ILIKUWA GHARAMA ZA KUUA UPAGANI NA KUUSIMIKA UISLAMU NA UKRISTU EA.
Kila koo, Kila Kabila, Kila Zone zilikuwa na Taratibu zake kufanya Ibada na Matambiko juu ya Asili yao, Je, unaweza kutuambia ilikuwaje wakaziacha na kupindukia ugeni?
Ni mifumo yenu ya Kidini ndio ikandamizayo nafasi za viongozi wao. Mifumo hiyo imekuwa ikishinikiza watu kuangukia Ubatili, tangu Karne kenda, mpaka Leo hii matokeo ndio hayo ya Uwepo wenu Mjivuniao Utumwa wenu, kinachokera zaidi ni utayari wenu wa kutetea Ubatili huo. Inaogopesha.
Unaulizaje kama wapo wakati unajua hasa Dhuluma mlizowafanyia na mnazoendelea kuwafanyia.
NB:
Mkuu, vitabu vinaandikwa na watu. Na kila aandikaye huwa na Itikadi zake, hivyo kila andiko huwa na Mlengo Fulani. Yapo maandiko yaliyojaa Kweli nyingi katika Maisha, juu ya sayansi, uchumi, siasa, mahusiano, teknolojia nk...
Lakini pia yapo pia maandiko yaliyojaa Hila za Chuki, Uchonganishi, Mipasuko, Visasi, Utumwa, Brainwashing, nk...
Hivyo tambua kuwa Si kila Kusoma sana vitabu kunakuhalalishia Ukomavu wa Hoja, wakati mwingine hukufanya kuwa mtumwa wa maandishi, pasipo kuweka nafasi ya Tafakari binafsi.
Kabla ya Ujio wa Ukristu na Uislamu, Kila Koo na Kila Kabila zilikuwa na Taratibu zao za Kuabudu. Je, iliwagharimu nini kuacha taratibu hizo kupindukia Uislamu na Ukristu?
Je, hujui kwamba Nyakati za kudai Ukuu wako umeshafika nawe bado uko nyuma kupigania Uonevu?
Tumewachoka na Mifarakano yenu!
we unajua walioleta hz din walichowafanyia wenyeji? au kwasabb hawa wa din asilia hawasemi
Wewe kama msomi,hutakiwi kikwepa maswali,Mimi sijauliza kama ushahiddi upon au haupo ,
!
Kwa Nmna unavyijinasibu una maama unao ushahidi...mimimlangu dogo tu,tusaidia kuuleta hapa Ili udhihirishe msimamo wako!
Nafikiri ndivyo wasomi mnavuotakiwa kufanya!
Nakusubir!
Lombo,Wanashangaa kuona kina mama wamevaa mabaibui wanamsindikiza mwalimu...!๐๐๐ Aisee really Mzee Mohamed Said !
Wewe kama msomi,hutakiwi kikwepa maswali,Mimi sijauliza kama ushahiddi upon au haupo ,
!
Kwa Nmna unavyijinasibu una maama unao ushahidi...mimimlangu dogo tu,tusaidia kuuleta hapa Ili udhihirishe msimamo wako!
Nafikiri ndivyo wasomi mnavuotakiwa kufanya!
Nakusubir!
Lombo,Wewe kama msomi,hutakiwi kikwepa maswali,Mimi sijauliza kama ushahiddi upon au haupo ,
!
Kwa Nmna unavyijinasibu una maama unao ushahidi...mimimlangu dogo tu,tusaidia kuuleta hapa Ili udhihirishe msimamo wako!
Nafikiri ndivyo wasomi mnavuotakiwa kufanya!
Nakusubir!
Lombo,
Ndipo niliosema mwanzo wa asubuhi naanza kuchangia kuhusu post hii kuwa jitahidini msome Part Three ya kitabu cha Abdul Sykes.
Nimeeleza kila kitu humo ushahidi wote uko hapo.
Mwalimu wangu Prof. Haroub Othman alipokisoma kitabu changu alitaabika sana na hii sehemu ya tatu.
Hakupenda kuamini lakini ushahidi uko mbele yake.
Vipi ktk awamu ya nne na ya SITA!Soma:
Uadilifu II
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
GE2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Kama asilimia kubwa ya wasomi ni wakristo, ni wazi asilimia kubwa watakuwa kwenye mfumo rasmi wa ajira, labda kama waajiri wataanza kuangalia kigezo cha dini badala ya vigezo vya taaluma, hapo ndo mzani unaweza kuwa sawa.....www.jamiiforums.com
Lombo,Vipi ktk awamu ya nne na ya SITA!
Hiyo 20:80 Yako imejikita kwenye siasa tu ?! Au na ma3neo mengine!
Nashukuru ninaweza kuwa sijui lakini siwezi kukubaliana na hoja ambazo naona bado zina mushkeli, haya basi wasema serikali mgawanyo ni 80:20 hapa napata shida, serikali ni nguzo tatu; Bunge , Mahakama na Serikali kuu (watendaji) huu mgawanyo wa 80: 20 uko wapi. Basi tuseme kwa serikali ulimaanisha serikali kuu kutoa bunge na mahakama, naomba unifafanulie mgawanyo huu mzee wangu, je ni wa mawaziri, au watendaji wa ngazi za chini za serikali kuu, na ni ushahidi gani unaothibitisha huu mgawanyo wa 80:20! naomba unijuze Mzee kwa faida yangu na wengine kama mimi!Kilembwe,
Unafanya haraka ya kutoa kauli kwa jambo usilolijua.
Serikali mgawanyo ni 80:20.
Huwezi kuwa katika 80 ukasema unadhulumiwa.
Nani anaekudhulumu?
Kaa kimya ndugu yetu jifunze kwanza.
Wasomaji hata bado saa 24 kufika wanakaribia 4000 wengi ni wasomaji wanakuja kujifunza hawa hawachangii ila huja pembeni kunifahamisha ni kiasi gani wananufaika na hili darsa langu.
Sawa,kama.reference ni huonuteuzi was kisiasa was awamu ya Tano! Matarajio yangu ilikuwa kuona unaushahidi kwenye mfumo wa Elimu,ambalo pia Kitwana Kondo aliwahi lizungumzia.Lombo,
Wala usihangaike na hayo mengine.
Ridhika na ushahidi ulioutaka na nimekuwekea.
Mtego umenasa chui badala ya paa.
Alietega hendi kuunasua mtego wake.
Ulisema unanisubiri.
Nami nimekujia ahlan wasaalan.
Yani huyu mzee sumu sana.. nani ashangae mabaibui๐๐๐?Wanashangaa kuona kina mama wamevaa mabaibui wanamsindikiza mwalimu...!๐๐๐ Aisee really Mzee Mohamed Said !
Inside 10,Yani huyu mzee sumu sana.. nani ashangae mabaibui๐๐๐?
Sema uzuri wake lengo lake kawapata wachache wasio na upeo.
Waislamu safi wenye uchanganuzi lazima wakatae vitina zake.
Really watu waumie kisa mabaibui๐๐๐, inachekesha then inasiktisha.