Mohamed Said ana siasa za kulialia

Mohamed Said ana siasa za kulialia

Una uhakika ule msikiti alijenga JPM? OK turudi kwenye mada je waislam wanabaguliwa? Nikiwaza masuala ya UDOM na NSSF nabaki kimya
Ulikuwa chini ya usimamizi wake

Unafikiri asingeusimamie leo hii ungesimama vile

Ova
 
Haya malizia wabunge wangapi Wakristo ?Scholarship ngapi munawapa waislamu .?Na kwa upende wa elimu wanavunzi wangapi waislamu munawafelisha kuna makorokoro kibao Fumba domo lako anayo ndugu yetu Mohd Said yako sawa ndio maana yanawekera kwa sababu anajaribu kuwamsha waislamu wamelala sana .
Ishu ya wabunge wengi ni wakristo kwasababu ratio inaonyesha wakristo ni wengi zaidi Tanzania. Mikoa mingi majimbo mengi wanaishi wakristo ya waislamu ni mikoa ya pwani Kwa kiasi kanda ya Kati na kigoma kiasi chake. Ni ngumu kuona muislam ni mbunge wilaya za Mwanza , Njombe, katavi , Mbeya , Mara, Songwe , Arusha, Kilimanjaro, n.k. kwasababu wanaochagua hao wabunge ni watu waishio pale kwahiyo ishu ya wabunge uiache tuu. Population haijawahi kudanganya . Hao wabunge hawajichagui wenyewe wanachaguliwa.
 
2012 walivyoambiwa sensa ihesabie kwa dini kanisa lilipinga sana kwa nguvu zote,
Sasa ili tuwekane sawa tufanye kampeni kwa pamoja mwakani tuhesabiane kwa dini ili tuone nani wengi
Kitu kirahisi angalia ukubwa wa Tanzania na mikoa ipi ina waislamu wengi na wakristo wengi. Jibu utalipata
 
Wewe kama msomi,hutakiwi kikwepa maswali,Mimi sijauliza kama ushahiddi upon au haupo ,
!
Kwa Nmna unavyijinasibu una maama unao ushahidi...mimimlangu dogo tu,tusaidia kuuleta hapa Ili udhihirishe msimamo wako!
Nafikiri ndivyo wasomi mnavuotakiwa kufanya!
Nakusubir!
Mkuu kwanini huandiki vizuri? Shida nini hasa?
 
Sio kwamba ilisaidia Waislamwengi zaidi kuingia shule!
Lambo,
Hapana hali ilibaki kama ilivyokuwa kabla ya kutaifishwa.

Kuna utafiti ulifanywa na Warsha mwaka wa 1981 na matokeo yake kusambazwa kwa Waislam nchi nzima.

Hii ilileta matatizo makubwa sana.

Nina paper niliandika "Islam and Politics in Tanzania," (1989) na niliwasilisha kwenye mkutano Nairobi.

Hii paper iko kwenye journal sikumbuki jina la hii journal.
Ukitaka kujua yaliyotokea nifahamishe nikuwekee link.
 
Kutaka kujua idadi ya Dini Asilia ili iwe nini? Hata ikiwa moja au nyingi itahalalisha au kubatilisha nini?
Hivi ni kweli kabisa unatamka Taifa, halafu unahoji kuwa kuna uwezekano wa kuwa na kundi lisilo na Maslahi ya Ujenzi wa Taifa! How?

Ni nani amekuambia Harakati za Kudai Uhuru zilianza na Vyama vya Siasa tu? Unatoa wapi hoja hiyo, kwanini mnapenda kujihalalishia Ubatili?

Ukifikiri Upagani hauwezi kupambanishwa na Uislamu Kihistoria, basi Jibu swali la ni IPI HASA ILIKUWA GHARAMA ZA KUUA UPAGANI NA KUUSIMIKA UISLAMU NA UKRISTU EA.

Kila koo, Kila Kabila, Kila Zone zilikuwa na Taratibu zake kufanya Ibada na Matambiko juu ya Asili yao, Je, unaweza kutuambia ilikuwaje wakaziacha na kupindukia ugeni?

Ni mifumo yenu ya Kidini ndio ikandamizayo nafasi za viongozi wao. Mifumo hiyo imekuwa ikishinikiza watu kuangukia Ubatili, tangu Karne kenda, mpaka Leo hii matokeo ndio hayo ya Uwepo wenu Mjivuniao Utumwa wenu, kinachokera zaidi ni utayari wenu wa kutetea Ubatili huo. Inaogopesha.

Unaulizaje kama wapo wakati unajua hasa Dhuluma mlizowafanyia na mnazoendelea kuwafanyia.

NB:
Mkuu, vitabu vinaandikwa na watu. Na kila aandikaye huwa na Itikadi zake, hivyo kila andiko huwa na Mlengo Fulani. Yapo maandiko yaliyojaa Kweli nyingi katika Maisha, juu ya sayansi, uchumi, siasa, mahusiano, teknolojia nk...
Lakini pia yapo pia maandiko yaliyojaa Hila za Chuki, Uchonganishi, Mipasuko, Visasi, Utumwa, Brainwashing, nk...

Hivyo tambua kuwa Si kila Kusoma sana vitabu kunakuhalalishia Ukomavu wa Hoja, wakati mwingine hukufanya kuwa mtumwa wa maandishi, pasipo kuweka nafasi ya Tafakari binafsi.

Kabla ya Ujio wa Ukristu na Uislamu, Kila Koo na Kila Kabila zilikuwa na Taratibu zao za Kuabudu. Je, iliwagharimu nini kuacha taratibu hizo kupindukia Uislamu na Ukristu?
Je, hujui kwamba Nyakati za kudai Ukuu wako umeshafika nawe bado uko nyuma kupigania Uonevu?

Tumewachoka na Mifarakano yenu!
Utamuua mzee mkuu, taratibu
 
tunakwendaMzee wangu Mohamed nashukuru sana, hata mimi huwa sipendi mabishano kwa maana ile ile uliyosema, lengo langu kwa uhalisia ilikuwa ni kunielewesha maana ni kweli sikuelewa lakini kama umechukulia kuwa nabisha tu ni bahati mbaya sana mzee! lakini nimefarijika sana kwa sentensi yako ya mwissho kuwa sikuelewa kwa hili ..basi tusonge mbele tujifunze mengine..Wabillah Tawfiq...Allah akuzidishie umri na hekima uzidi kutujuza mengine tusiojua!
Kilembwe,
Amin kwa sote ndugu yangu.
Mjadala umeshamiri sana tunakimbilia wasomaji 6000.
 
Utamuua mzee mkuu, taratibu
Mashine...
Ulichotakiwa kukifanya kwa hoja yake hiyo ni kumwambia kuwa Mohamed Said ameleta hapa historia ya uhuru wa Tanganyika na kaeleza nani waasisi wa African Assocation, Al Jamiatul Islamiyya na TANU na vipi vyama hivi vilivyofanyakazi kupigania uhuru.

Sasa ungemweleza na yeye aandike kuhusu Wapagani na vyama vyao walivyopigania uhuru huu.
Badala yake unaingiza ushabiki ati ataniua.

Hebu fanya hivi ndugu yangu tuendelee na mjadala wenye afya.
Tuko watu 6000 hivi sasa katika mjadala huu and counting.
 
Una uhakika ule msikiti alijenga JPM? OK turudi kwenye mada je waislam wanabaguliwa? Nikiwaza masuala ya UDOM na NSSF nabaki kimya
Hawabaguliwi Ila Wana agenda ya kuwa wanalalamika ionekane wanaonewa.
Huku mtaani waliokosa ajira wanahesabika kwa dini zao?
Dini zingine wanatoa Nini kwa waumini wao?
Shule na vyuo vyao wanasoma wakina Nani?
Wakristo na dini zingine msiposhtuka Hawa watu ni disaster na ajenda Yao ya kutawala kidini
 
Back
Top Bottom