Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #181
Lebron ningekuwa nina sifa hiyo ya kueneza chuki nisingealikwa kuzungumza kote huko nilikopita.Mkuu athari mojawapo ya dini ni kuwafanya very smart people very dumb...
Huwezi kuamini mtu smart sana kama Mzee Mohamed dini imempofusha ufahamu kabisa...inatia huruma sana!
Lebron umeghadhibika.
HhahahahahahahaNdo imefika mwisho au TECNO yangu tu.
Lebron ningekuwa nina sifa hiyo ya kueneza chuki nisingealikwa kuzungumza kote huko nilikopita.
Ng'wanangwa,
Allah akupe umri tawil uje uonje raha ya ubabu.
Amin.
Lebron...Kuitwa kuongea mahali sio kielelezo kua huna chuki
Na ambae hakuitwa kwenye hayo maeneo kuongea sio kielelezo kua eti ana chuki...
Dini imeshakuambukiza chuki innately kabisa kua asie dini yako ni adui ya livelyhood yako...It doesnt get worse than this kumfikiria mwanadamu mwenye roho na ubinadamu kama wako namna hii.
Out of context.
I'm glad it makes you happy.
Lebron,Mkuu
Naona unakula short cuts tu..Dadavua mambo,hizi shortcuts zako ndio zinaniacha hoi kwakweli.
Wewe unataka mjadala uende 100% unavyotaka wewe,realistically haiwezekani
accommodate hoja za watu,zijibu zote
Hii ndio athari ya dini kwa waumini wake inajionesha waziwazi.
Nimezimiss zile zama za Bubu ataka Kusema
Safari Safi,Nimekusoma vyema, mkuu, ila wewe kama kiongozi, hukupaswa kusherehesha yale maneno machache uliyoingiza, yenye mlengo wa kidini hapa jukwaani, kwa sababu hapa kuna watu wasio na uwezo wa kupambanua mambo, mwisho wa siku tunaanza kuona visasi mtaani kutoka kwa wale wanaojifanya kupigania dini,
hii ni Busara ya kawaida wala haihitaji elimu kubwa!
Mkuu, Mh.sana!!
Samahani kama unakelwa, ila Huo ndio mchango wa mawazo yangu juu ya hilo!
Sbakari,Umeleza vizur sana ila umeharibu hapo uliposema eti wangekua 'wakristo wanatoka vatcna' moja kwa moja inaonekana unaitikad za Udini sana wewe,ningekua police ningekuweka ndani
Ha ha ha ha ha!Safari Safi,
Hapana hujasema neno baya na nafahamu nini inaposemwa, ''dini.''
Nafahamu uoga uliopo katika neno hili na nini maana yake na wala
huna haja ya kunitaka radhi kwani hujasema chochote kibaya.
Ingekuwa kuna visasi basi vingetokea miaka mingi iliyopita.
Hapana haja ya kujitisha pasi na sababu.
Angalia milango niliyogonga na nikafunguliwa kupita:
Hizi ni baadhi na zinasomwa hadi leo kama rejea kote na sijasikia kama kuna mtu
- PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
- The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
- The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
- Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
- Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
- Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
- In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
- Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
- Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
- The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
- Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
- The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
- Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
- Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
- Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
- Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
- Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
- 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
- Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
katoka kupigana kisa kamsoma Mohamed Said.
Kuitwa kuongea mahali sio kielelezo kua huna chuki
Na ambae hakuitwa kwenye hayo maeneo kuongea sio kielelezo kua eti ana chuki...
Dini imeshakuambukiza chuki innately kabisa kua asie dini yako ni adui ya livelyhood yako...It doesnt get worse than this kumfikiria mwanadamu mwenye roho na ubinadamu kama wako namna hii.
Umeleza vizur sana ila umeharibu hapo uliposema eti wangekua 'wakristo wanatoka vatcna' moja kwa moja inaonekana unaitikad za Udini sana wewe,ningekua police ningekuweka ndani
Lizarazu,Braza Bak vipi mbona unashangaa!?
Kuna watu wana historia wewe acha tu.
Yaani akiamua kuandika yote anajaza hata counter book 8 za Four Quire.
:
wakati huo wewe historia yako yote haijai hata kwenye daftari la 100/=.
FDR Jr,Sheikh Said eeeeh hebu malizia hiki kisa ...Mkatoliki mie nafurahia mikasa yako inavonifundisha Dunia
Hata mimi naona kanichefua sana nilidhan anaongea vitu vya msingi kumbe pumba tu, Mwanzo umeanza vizuri kuanzia kat na mwisho ndio nimepata picha Kwamba shida yako ni Kueneza Chuki katika Dini
Bill,napenda unavowajibu kwa busara japo wanakuwa wana mihemko kila unapowapa majibu mujaaarabu kabisa