Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

Mkuu athari mojawapo ya dini ni kuwafanya very smart people very dumb...

Huwezi kuamini mtu smart sana kama Mzee Mohamed dini imempofusha ufahamu kabisa...inatia huruma sana!
Lebron ningekuwa nina sifa hiyo ya kueneza chuki nisingealikwa kuzungumza kote huko nilikopita.
 
Lebron umeghadhibika.

Mkuu

Naona unakula short cuts tu..Dadavua mambo,hizi shortcuts zako ndio zinaniacha hoi kwakweli.

Wewe unataka mjadala uende 100% unavyotaka wewe,realistically haiwezekani

accommodate hoja za watu,zijibu zote

Hii ndio athari ya dini kwa waumini wake inajionesha waziwazi.
 
Lebron ningekuwa nina sifa hiyo ya kueneza chuki nisingealikwa kuzungumza kote huko nilikopita.

Kuitwa kuongea mahali sio kielelezo kua huna chuki

Na ambae hakuitwa kwenye hayo maeneo kuongea sio kielelezo kua eti ana chuki...

Dini imeshakuambukiza chuki innately kabisa kua asie dini yako ni adui ya livelyhood yako...It doesnt get worse than this kumfikiria mwanadamu mwenye roho na ubinadamu kama wako namna hii.
 
Kimsingi siku nikija kua rais wa nchi hii,lazima wananchi wangu wawe na majina matatu.majina yakua kama ifuatavyo

1.Jina la kikiristu
2.jina la kiislam
3.Jina la kiinyeji (siyo jina la kikabila wala mila ila litakua kama mti,kijiji,wilaya,mlima,mto au ziwa wa eneo ulipozaliwa
au wazazi wako walikozaliwa )

Nb,jina la mwanzo linaweza kuanza la kikiristu au kiislam ila la mwishi lazima liwe la kiinyeji.

Mfano,mtu kazaliwa Ngorongoro

Huyu ataitwa.

Hussein Thomas Ngorongoro

Mtu amezaliwa mlima kitonga

Donald khalid Kitonga

Mtu amezaliwa chato

Abdul John Chato

Kwa mtazamo wangu tunaweza kupunguza japo mtazamo hasi iliopo wa kiimani kwa kufanya hivo.
 
Kuitwa kuongea mahali sio kielelezo kua huna chuki

Na ambae hakuitwa kwenye hayo maeneo kuongea sio kielelezo kua eti ana chuki...

Dini imeshakuambukiza chuki innately kabisa kua asie dini yako ni adui ya livelyhood yako...It doesnt get worse than this kumfikiria mwanadamu mwenye roho na ubinadamu kama wako namna hii.
Lebron...
Hapa tulipofika kwa majadiliano panatosha.
Nilichoeleza nimekieleza.

Nashukuru kuwa mkasa huu umevutia wengi.
 
Mkuu

Naona unakula short cuts tu..Dadavua mambo,hizi shortcuts zako ndio zinaniacha hoi kwakweli.

Wewe unataka mjadala uende 100% unavyotaka wewe,realistically haiwezekani

accommodate hoja za watu,zijibu zote

Hii ndio athari ya dini kwa waumini wake inajionesha waziwazi.
Lebron,
Nimesoma mlango wa mnakasha yaani majadiliano kwa Maalim Haruna.
Yeye ndiye aliyenifunza adab za majadiliano.

Alikuwa akisisitiza sana kuheshimiana na akasema kuwa ukiona mwenzio
anakuja na matusi jua ameghadhibika na ushamshinda.

Maalim Haruna alikuwa akisema kuwa ikifikia hali hiyo basi sitisha mnakasha.
 
Umeleza vizur sana ila umeharibu hapo uliposema eti wangekua 'wakristo wanatoka vatcna' moja kwa moja inaonekana unaitikad za Udini sana wewe,ningekua police ningekuweka ndani
 
Nimekusoma vyema, mkuu, ila wewe kama kiongozi, hukupaswa kusherehesha yale maneno machache uliyoingiza, yenye mlengo wa kidini hapa jukwaani, kwa sababu hapa kuna watu wasio na uwezo wa kupambanua mambo, mwisho wa siku tunaanza kuona visasi mtaani kutoka kwa wale wanaojifanya kupigania dini,

hii ni Busara ya kawaida wala haihitaji elimu kubwa!

Mkuu, Mh.sana!!

Samahani kama unakelwa, ila Huo ndio mchango wa mawazo yangu juu ya hilo!
Safari Safi,
Hapana hujasema neno baya na nafahamu nini inaposemwa, ''dini.''

Nafahamu uoga uliopo katika neno hili na nini maana yake na wala
huna haja ya kunitaka radhi kwani hujasema chochote kibaya.

Ingekuwa kuna visasi basi vingetokea miaka mingi iliyopita.
Hapana haja ya kujitisha pasi na sababu.

Angalia milango niliyogonga na nikafunguliwa kupita:
  1. PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  2. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  3. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  4. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  5. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  6. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  7. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  8. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  9. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  10. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  11. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  12. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  13. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  14. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  15. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  16. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  17. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  18. 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  19. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Hizi ni baadhi na zinasomwa hadi leo kama rejea kote na sijasikia kama kuna mtu
katoka kupigana kisa kamsoma Mohamed Said.
 
Umeleza vizur sana ila umeharibu hapo uliposema eti wangekua 'wakristo wanatoka vatcna' moja kwa moja inaonekana unaitikad za Udini sana wewe,ningekua police ningekuweka ndani
Sbakari,
Kwani hilo ni kosa katika sheria za Tanzania?
 
Ha ha ha ha ha!
Mkuu, Mh Zungu, umefanya tukio kubwa, (kwa ref. zako) nadhani hata halilingani na kile tunachojadili, basi mi nikushukuru tu, na zaidi ni kwamba naishi kwa hofu juu ya u dini, na ninadhani kama kuna hatari kubwa nchi hii ni hiyo, ila mtazami wangu siyo sheria, nakushukuru kwa hayo!
 
Kuitwa kuongea mahali sio kielelezo kua huna chuki

Na ambae hakuitwa kwenye hayo maeneo kuongea sio kielelezo kua eti ana chuki...

Dini imeshakuambukiza chuki innately kabisa kua asie dini yako ni adui ya livelyhood yako...It doesnt get worse than this kumfikiria mwanadamu mwenye roho na ubinadamu kama wako namna hii.

Wewe huna chuki na Uislam Waislam, sasa kilichokukera haswa ni kipi?

Nashangaa hata hao walioambiwa hayo hapo airport hawajakasirika kama ulivyokasirika wewe, povu linakutoka utafikiri umemeza kilo ya omo.
 
Umeleza vizur sana ila umeharibu hapo uliposema eti wangekua 'wakristo wanatoka vatcna' moja kwa moja inaonekana unaitikad za Udini sana wewe,ningekua police ningekuweka ndani

= Vatican

Kasome vizuri, aliwaambia hayo hao-hao waliomzuwia airport, sasa wewe kimekuuma nini zaidi ya walioambiwa?

Kwani Wakristo hawaendi kupiga tour Vatican?

Hata mimi ambae si Mkristo nimeshaenda tour Vatican.
 
Braza Bak vipi mbona unashangaa!?

Kuna watu wana historia wewe acha tu.

Yaani akiamua kuandika yote anajaza hata counter book 8 za Four Quire.
:
wakati huo wewe historia yako yote haijai hata kwenye daftari la 100/=.
Lizarazu,
Mimi nasisimkwa sana kila ninapokutana na mtu mzima na akanipa historia
za wazalendo waliopita ambao wengi hawajui michango yao.

Hebu soma kisa cha Salum Abdallah:
Nanren,
Aliyewekwa kizuizini si baba yangu.
Aliyewekwa kizuizini ni babu yangu Salum Abdallah.

Hakuwekwa kwa ajili ya dini.

Yeye alikuwa Mwenyekiti wa Tanganyika Railway African Union (TRAU)
chama alichokiasisi na kuwa mwenyekiti wake mwaka wa 1955 Kasanga
Tumbo akiwa katibu.

TRAU ilipigana bega kwa bega katika uhuru wa Tanganyika na babu yangu
ni katika wanachama wa mwanzo wa TANU Tabora.

Yeye alikuwa katika kamati ya siri iliyokuwa ikifanya mikutano mjini hapo
kwa matayarisho ya kuundwa TANU.

Salum Abdallah alipigana kwa hali na mali katika kupambana na ukoloni.
Mwaka wa 1947 aliongoza General Strike halikadhalika mwaka wa 1949.

Mwaka wa 1960 aliongoza mgomo wa Railway uliodumu siku 82 kuvunja
rekodi ya mgomo wa siku 62 ulioongozwa na Makhan Singh Kenya.

Salum Abdallah alikamatwa na kuwekwa kizuizini baada ya maasi ya KAR
ya mwaka wa 1964 pamoja na viongozi wengine wa vyama vya wafanyakazi.

Lakini kesi ile ya waasi ilipokwenda mahakamani hawa viongozi wa vyama vya
wafanyakazi hawakushitakiwa kwa uasi.

Kuwekwa kwao ndani ilikuwa Mwalimu Nyerere anatafuta nafasi ya kuunda
chama kimoja cha wafanyakazi kitakachowekwa chini ya TANU.

Ule mgomo wa mwaka wa 1960 ndiyo uliomtia hofu Mwalimu Nyerere kwa
kudhihirikiwa kuwa kulikuwa na viongozi wa watu kama yeye ambao walikuwa
wakisikilizwa na wananchi.

Mara tu baada ya uhuru mwaka wa 1962 Nyerere aliitisha mkutano Moshi wa
viongozi wa wafanyakazi agenda ikiwa kuwa na chama kimoja chini ya TANU.

Babu yangu alikuwa mmoja wa watu waliompinga katika wazo hilo kwa hoja nzito.

Nyerere hakufurahishwa na yeye.

Babu yangu alipotoka kizuizini alijitoa katika siasa na kujikita katika biashara na
kilimo cha tumbuku Urambo.

Alipokufa mwaka wa 1974 TANU ilifika mazikoni na walisoma taazia ya kumsifia
wakisema kuwa Salum Abdallah aliweka mfuko wake wazi kwa TANU wakati
wa kupigania uhuru.

Babu yangu hakupata kujiunga na AMNUT yeye alikuwa TANU hadi alipohisi usaliti
ndani ya chama uliosababisha yeye kuwekwa kizuizini kwa shutuma za uongo.

Bahati mbaya sana umekuwa ukiamini kuwa babu yangu aliwekwa ndani kwa ajili
ya Uislam.

Naamini kuanzia sasa unampa babu yangu heshima anayostahili kama mpigania
haki na uhuru wa Tanganyika.

Itapendeza kama ndugu zangu mkajizuia kuandika mambo ambayo hamyajui.

Hiyo unayoita ''chokochoko,'' ukiwa unataka kuelewa historia yake fungua uzi In
Shaallah nitakuja na nitatoa darsa.
 
Hata mimi naona kanichefua sana nilidhan anaongea vitu vya msingi kumbe pumba tu, Mwanzo umeanza vizuri kuanzia kat na mwisho ndio nimepata picha Kwamba shida yako ni Kueneza Chuki katika Dini

Ulikuja mbio kutazama pumba? Hivi hujuwi siku zote kuwa Mohamed Said analeta pumba humu?

Huo ulioleta wewe ni mchele?

Punguani wahed.
 
napenda unavowajibu kwa busara japo wanakuwa wana mihemko kila unapowapa majibu mujaaarabu kabisa
Bill,
Maalim wangu Sheikh Haruna alikuwa anasema kuw aingia katika
mjadala ili kwanza wewe mwenyewe unufaike kwa ilm ya mwenzako.

Sasa mimi nataka ninufaike kutoka kwa hawa ndugu zangu katika kile
wao wanachokijua.

Bahati mbaya ghadhabu zimewatangulia.
 
Back
Top Bottom