Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.
Wakati Nyerere anafanya hayo...waislam walikuwa wapi?
 
Hivi unajua kuwa alicommit treason.....
 
Mleta mada umepungukiwa kidogo TANU ilikuwa ya Tanganyika nzima sasa ukichukua watu wake ukawatenga katika mikoa iliokuwepo na ukaorodhesha watu wake utaona majina ya waislamu kwenye mikoa michache na mikoa mingi itakuwa wasio waislam. Dar es saalam isikupumbaze ukaona ndo nchi nzima poleni sana kwa ipeo wako
 

Waislamu wenye akili wanawachukia hawa waislamu uchwara

ni waharibifu
 
Wimbo huu hauna mwisho?
 
Huku kwetu waislamu niwaelewa, wana upendo, busara na wanaishika imani na kumueshimu Mungu kwa maneno na matendo, Maana huwezi ukasikia( miaka ya nyuma kidogo) fitina na ugonvi sisi tulipenda sana ' kaswida' yao na futari ile ya uji was pilipili, na lipilau maana walitukaribishaga kama jamaa wema na sisi tukawapa heshima ya kuchinja ili tukipika nao wake wale kwetu, nawashukuru sana wazee walioleta uislam huku bara!
 
Mwisilamu hata akisoma vipi haelimiki
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…