Mohamed Salah asaini kandarasi ya miaka 5 na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya klabu

Mohamed Salah asaini kandarasi ya miaka 5 na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya klabu

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
960.jpg

Mohamed Salah amesaini mkataba wa miaka 5 kuendelea kuitumikia klabu ya Liverpool hadi mwaka 2023

Atakuwa analipwa £200,000 kwa wiki na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya klabu ya Liverpool.

-----

Liverpool winger Mohamed Salah has committed his long-term future to the club by signing a new five-year contract.

The Egypt international has been rewarded for his outstanding debut season for the Reds which saw him plunder 44 goals in 52 matches.

The ECHO understands there is no release clause in a contract which will keep him at Anfield until 2023. It puts him alongside Roberto Firmino and Virgil van Dijk as the club's highest wage earners.

The news is a massive boost for Liverpool as Jurgen Klopp's squad reconvene at Melwood for the start of pre-season training today.

Salah lit up Anfield following his £36.9million move from Roma last year. He played a starring role in Liverpool's run to the Champions League final and was crowned both PFA Player of the Year and FWA Footballer of the Year.


Mohamed Salah of Liverpool celebrates the second goal during the UEFA Champions League Semi Final First Leg match between Liverpool and A.S. Roma at Anfield on April 24, 2018 in Liverpool, United Kingdom.

The 26-year-old had been linked with a move to Spain but he made it clear that he was happy and settled at Liverpool. Negotiations were swiftly concluded between Liverpool sporting director Michael Edwards and Salah's agent Ramy Abbas.

With Firmino having also recently signed a new contract, the priority now will be to get Sadio Mane to pen an extension.


Source: Mohamed Salah signs new long-term Liverpool contract
 
Messi anakuitaji Pale barca..achana na hiyo club mwendo wa PUNDA
 
Kifupi ikifika jumapili saa 6 dakika 1 usiku akaunti yake inasoma Milioni 600 Tsh
 
Masamila hata wewe umechemka babaa 😀

Ni £200,000=600,705,528 TSHS....


Alaa, kumbe imeshuka hadi 3000 !

Nilichokuwa nimemsahihisha huyo jamaa ni kuwa mara nyingi kama mtu atatumia rate wanazooffer hawa Bureau de change inabidi atumie bei ya "SELL" na sio "BUY" sababu currency ambazo sio hard currency Bureau de change zote duniani huziwekea spread kubwa ili kucompensate faida tofauti na hard currency. Mfano mimi ningekuwa naishi UK basi ninaporudi TZ ningekuwa nabadili GBP kwenda USD huko huko ndio kisha nije kubadili kwenda Madafu nikishatua Bongo, nisipofanya hivyo nitakuwa ninapoteza zaidi ya shilingi mia mbili kwa kila pauni nitakayoibadilishia ambapo , kwa mfano kwa pauni elfu kumi kama nitachange huku bongo tayari nimepoteza kama milioni mbili unlike ningechange kule kule UK kwenda USD
 
Makato ni 45% , Takehome inamaana ni 110,000 GBP
 
Back
Top Bottom