fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Daaah ila bado ndefu sanaMakato ni 45% , Takehome inamaana ni 110,000 GBP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah ila bado ndefu sanaMakato ni 45% , Takehome inamaana ni 110,000 GBP
Mishahara ya UK kwa wanaolipwa kwa week ni kila ijumaa account inacheka. Saa sita na dk zake usiku wa ijumaa account inakua ishanonaKifupi ikifika jumapili saa 6 dakika 1 usiku akaunti yake inasoma Milioni 600 Tsh
Daaah ila bado ndefu sana
Dah kumbe ijumaaMishahara ya UK kwa wanaolipwa kwa week ni kila ijumaa account inacheka. Saa sita na dk zake usiku wa ijumaa account inakua ishanona
Alaa, kumbe imeshuka hadi 3000 !
Nilichokuwa nimemsahihisha huyo jamaa ni kuwa mara nyingi kama mtu atatumia rate wanazooffer hawa Bureau de change inabidi atumie bei ya "SELL" na sio "BUY" sababu currency ambazo sio hard currency Bureau de change zote duniani huziwekea spread kubwa ili kucompensate faida tofauti na hard currency. Mfano mimi ningekuwa naishi UK basi ninaporudi TZ ningekuwa nabadili GBP kwenda USD huko huko ndio kisha nije kubadili kwenda Madafu nikishatua Bongo, nisipofanya hivyo nitakuwa ninapoteza zaidi ya shilingi mia mbili kwa kila pauni nitakayoibadilishia ambapo , kwa mfano kwa pauni elfu kumi kama nitachange huku bongo tayari nimepoteza kama milioni mbili unlike ningechange kule kule UK kwenda USD