Mohamed Salum: Nchi zenye Mitaji Mikubwa ya Uwekezaji Duniani kwa sasa zipo Uarabuni

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Nchi zenye mitaji ya uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa zipo Uarabuni.

Waarabu hawa wamewekeza kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Ulaya. Kwa DP World wana mtaji mkubwa wa kifedha, hakuna nchi inayofanya biashara bila kuruhusu sekta binafsi.

Amesisitiza kuwa nchi za Mashariki ya Kati ndio zinamiliki uchumi wa dunia kwa sasa hivyo nadharia za kutajana majina (Mabeberu) hazitatupeleka popote.

Ametoa jibu hili kwa mdau aliyetaja kufahamu ni kwa namna gani DP World ambayo ni kampuni ya waarabu (Mabeberu) ilivyo safi, kwa kukumbuka kuwa ndugu zetu wa Loriondo wamepitia mateso makubwa yaliyosababishwa na waarabu.

Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
 
Naafikiri Mohamed Salum alipaswa kuwaeleza waTanzania ni kwanamna gani Nchi itafaidika na uwekezaji pamoja na ukomo wa DPW ukezaji huo pamoja na maboresho katika kila awamu.
Sidhani kama waTanzania wanataka kujua kama DPW ana mtaji mkubwa ama mdogo, zaidi waTanzania wanataka kuona ufanisi na sio wametokea nchi gani.
 
Unaota
Kaisome Saudi Aramco

Kaangalie Faida ya Emirates

Kaangalie Dnata

Kaangalie Watalii

Kaangalie miji yao

Isije kuwa umejifungia uvunguni kwenye nyumba ya matope afu ....
Hakuna lolote, kwa dunia ya sasa hakuna taarifa zisizo wazi, sote tunajua mbivu mbichi zao , conclusion hawana cha sana kutuzidi.
 
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Nchi zenye mitaji ya uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa zipo Uarabuni.

Waarabu hawa wamewekeza kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Ulaya. Kwa DP World wana mtaji mkubwa wa kifedha, hakuna nchi inayofanya biashara bila kuruhusu sekta binafsi.

Amesisitiza kuwa nchi za Mashariki ya Kati ndio zinamiliki uchumi wa dunia kwa sasa hivyo nadharia za kutajana majina (Mabeberu) hazitatupeleka popote.

Ametoa jibu hili kwa mdau aliyetaja kufahamu ni kwa namna gani DP World ambayo ni kampuni ya waarabu (Mabeberu) ilivyo safi, kwa kukumbuka kuwa ndugu zetu wa Loriondo wamepitia mateso makubwa yaliyosababishwa na waarabu.

Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
Hakuna anaebisha kwa hilo tunachotaka ni kurekebishwa vipengele vyenye utata ni hayo tu.
 
Hatukatai ila hicho sio kigezo cha kuwapa bandari milele
 
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Nchi zenye mitaji ya uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa zipo Uarabuni.

Waarabu hawa wamewekeza kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Ulaya. Kwa DP World wana mtaji mkubwa wa kifedha, hakuna nchi inayofanya biashara bila kuruhusu sekta binafsi.

Amesisitiza kuwa nchi za Mashariki ya Kati ndio zinamiliki uchumi wa dunia kwa sasa hivyo nadharia za kutajana majina (Mabeberu) hazitatupeleka popote.

Ametoa jibu hili kwa mdau aliyetaja kufahamu ni kwa namna gani DP World ambayo ni kampuni ya waarabu (Mabeberu) ilivyo safi, kwa kukumbuka kuwa ndugu zetu wa Loriondo wamepitia mateso makubwa yaliyosababishwa na waarabu.

Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
Hilo jamaa ni nene kwa muonekano tu linaonekana ni lilafi.
 
Kwa kipi haswa walicho nacho kutuzidi, iwe akili iwe mali asili hawana kitu kutuzidi.
Kwetu changamoto ni viongozi tuu
Viongozi wanawatuma mzembee kazi, mfisadi mali za umma, mchukue rushwa etc.????
 
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Nchi zenye mitaji ya uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa zipo Uarabuni.

Waarabu hawa wamewekeza kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Ulaya. Kwa DP World wana mtaji mkubwa wa kifedha, hakuna nchi inayofanya biashara bila kuruhusu sekta binafsi.

Amesisitiza kuwa nchi za Mashariki ya Kati ndio zinamiliki uchumi wa dunia kwa sasa hivyo nadharia za kutajana majina (Mabeberu) hazitatupeleka popote.

Ametoa jibu hili kwa mdau aliyetaja kufahamu ni kwa namna gani DP World ambayo ni kampuni ya waarabu (Mabeberu) ilivyo safi, kwa kukumbuka kuwa ndugu zetu wa Loriondo wamepitia mateso makubwa yaliyosababishwa na waarabu.

Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
Watu hawajakataa uwekezaji kwa sababu Dubai hawana mtaji, watu wanakataa mkataba mbaya.
 
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Nchi zenye mitaji ya uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa zipo Uarabuni.

Waarabu hawa wamewekeza kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Ulaya. Kwa DP World wana mtaji mkubwa wa kifedha, hakuna nchi inayofanya biashara bila kuruhusu sekta binafsi.

Amesisitiza kuwa nchi za Mashariki ya Kati ndio zinamiliki uchumi wa dunia kwa sasa hivyo nadharia za kutajana majina (Mabeberu) hazitatupeleka popote.

Ametoa jibu hili kwa mdau aliyetaja kufahamu ni kwa namna gani DP World ambayo ni kampuni ya waarabu (Mabeberu) ilivyo safi, kwa kukumbuka kuwa ndugu zetu wa Loriondo wamepitia mateso makubwa yaliyosababishwa na waarabu.

Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
Weka link
 
Kwa hiyo ulitegemea mfia dini, Mohammed Salim, awatetee nani zaidi ya DPW? US, China, EU wote wanakula mdudu
 
Back
Top Bottom