Mohamed Salum: Nchi zenye Mitaji Mikubwa ya Uwekezaji Duniani kwa sasa zipo Uarabuni

Mohamed Salum: Nchi zenye Mitaji Mikubwa ya Uwekezaji Duniani kwa sasa zipo Uarabuni

Man City, PSG , Newcastle FC zote ziko chini ya warabu na ndo zinatetemesha soka la Ulaya. Soon Man Utd nae anaenda kuwa chini ya warabu

Huo ndo ukweli.
Wao wanatoa pesa top management hakuna mwarabu hata mmoja kama ilivyo DP
 
Kwa hiyo huruhusu raslimali zetu zichukuliwe kienyeji kwa mikataba ya hivyo ya kifisadi? Ulaya wanaweza kukubali mkataba kama huu wa DPW
Ndio maana nasema wanaopinga huu mkataba wanashindwa kufocus kwenye hoja za msingi ndio maana wanaonekana walalamishi, mara muarabu ,mara uislamu hivi wewe kwa akili yako unaweza kumsikiliza mtu anayeleta hoja kama hizi kwenye mkataba?
 
Man City, PSG , Newcastle FC zote ziko chini ya warabu na ndo zinatetemesha soka la Ulaya. Soon Man Utd nae anaenda kuwa chini ya warabu

Huo ndo ukweli.
Kwa hiyo unataka muarabu arudi kuwa mtawala africa .....wewe unafananisha mambo ya kuwekeza na kuuza nchi hakuna anaye mpinga muarabu kuwekeza watu wanapinga kuuzwa kwa nchi ...aliye kuambia ulaya waarabu wameuziwa nchi ni nani? Ulisha sikia ya loliondo kutokea ulaya kwa sababu ya muarabu ? Kwa mzungu thamani ya mbwa wa ulaya ni kubwa kuliko waarabu 1000 ila kwetu sisi tuna ua wamasai kisa kumpendelea muarabu.....ona hapa subuana watara kashikiwa mwamvuli[emoji116]
Screenshot_20230701-221558_Lite.jpg
 
Man City, PSG , Newcastle FC zote ziko chini ya warabu na ndo zinatetemesha soka la Ulaya. Soon Man Utd nae anaenda kuwa chini ya warabu

Huo ndo ukweli.
Sawa ila hawajachukuwa Bandari
Nendeni mkawape Yanga waarabu basi
 
Swali ni je kule waliko wana mkataba kama huu wa kwetu? Haiwezekani kwa sababu watu wa kule wanajitambua ila sisi ni ufisadi na ukosefu wa uadilifu na uzalendo
 
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Nchi zenye mitaji ya uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa zipo Uarabuni.

Waarabu hawa wamewekeza kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Ulaya. Kwa DP World wana mtaji mkubwa wa kifedha, hakuna nchi inayofanya biashara bila kuruhusu sekta binafsi.

Amesisitiza kuwa nchi za Mashariki ya Kati ndio zinamiliki uchumi wa dunia kwa sasa hivyo nadharia za kutajana majina (Mabeberu) hazitatupeleka popote.

Ametoa jibu hili kwa mdau aliyetaja kufahamu ni kwa namna gani DP World ambayo ni kampuni ya waarabu (Mabeberu) ilivyo safi, kwa kukumbuka kuwa ndugu zetu wa Loriondo wamepitia mateso makubwa yaliyosababishwa na waarabu.

Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
Amelipwa sh ngapi?
 
Ujinga mtupu. Mataifa ya kiarabu mpaka leo yanapambana kuvutia wawekezaji yakitoa vivutio vingi, halafu huyu asiyejua chochote anasema kuwa mataifa ya kiarabu ndiyo yenye mitaji mikubwa ya kuwekeza nje ya mataifa yao!! Ujinga mkubwa.

04-14-23 | 12:00 PM

Saudi Arabia targets foreign investment with launch of four special economic zones
 
Kwani kuna mtu anapiga mwarabu kuwekeza? tatizo ni terms za mkataba hazipo wazi na siyo rafiki kwa baadae
 
Jikite katika terms za mkataba
 
Man City, PSG , Newcastle FC zote ziko chini ya warabu na ndo zinatetemesha soka la Ulaya. Soon Man Utd nae anaenda kuwa chini ya warabu

Huo ndo ukweli.
Lord jaribu ku act kama mtu mwenye akili!! Hakuna anaepinga warabu kuwekeza nchini, bali watu wanakosoa aina ya some articles kweny mkataba!!
 
Hakuna lolote, kwa dunia ya sasa hakuna taarifa zisizo wazi, sote tunajua mbivu mbichi zao , conclusion hawana cha sana kutuzidi.
Wametuzidi akili ya uzalendo wa kusimamia rasilimali zao kwa faida ya wote. Mtu mweusi anasumbuliwa na ubinafsi. Hiki ndiyo kirusi kikuu cha magonjwa yote anayoumwa mtu mweusi.
 
Hakuna Mtanganyika anayekataa uwekezaji na bila kujali atokako muwekezaji,
Shida ipo hapo kwenye huo mkataba wakuwapa bure..yani Bure bila Tanganyika kupata chochote.
Hilo lieleweke vizuri..
 
Yaani wewe unawaza kuletewa tende na kanzu maskini!.Hivi wewe ni muislam kuliko wasomali na Djibout.Jiulize kwa nini waliwakataa DP Word?
Warabu ndio wenye fedha sasaiv duniani nmmmbwa wewe, nyie wagalatia kazi yenu Qupyuni mekndyu
 
Back
Top Bottom