Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Yaani mtu ana 49% shares ambazo wala hatuna uhakika kama amelipia, halafu bado anakuwa na nguvu za kumteua Mwenyekiti, let alone CEO!!

Ama kweli wajinga ndo waliwao....

Sema aache fix bhana!!! Yaani "atoe" 20B halafu aache nafasi ya uenyekiti kwa Non-MO?!

Mi nabisha...

Halafu nimekumbuka...

From nowhere, Mudi akamteua mdogo wake Fatema kuwa Mlezi wa Simba Queen...

Ndani ya muda mfupi, tunaambiwa Fatema anafanikisha Simba Queen kupatiwa basi dogo na Africareer!

Miezi kadhaa baadae, anafanya mambo makubwa zaidi kwa kufanikisha deal la mabasi makubwa matatu pale Simba!!

Siku kadhaa baadae, Mudi anaachia ngazi Uenyekiti na kumteua makamu wake kuwa ndie mwenyekiti!!

Eti ndugu mabibi na mabwana, hivi kuna mtu mwenye shaka shaka juu ya uwezo mkubwa wa Fatema Dewji ambae ndani ya muda mfupi tu amefanikisha mkataba wa 800M sio kwa Simba Queen anayoilea tu bali kwa Simba YOTE!!!

Tuifanye sub ya Barbara kwenda kwenye bodi, halafu Fatema awe CEO, au Barbara abaki pale pale alipo, na baadae Fatema tumpeleke akaongoze bodi baada ya kupata mafanikio makubwa pale Simba Queen?!

Lakini inawezekana vipi tumwache Mudi aende kirahisi rahisi hivi?!
Au tuanzishe Mo Simba Investments ambayo CEO awe Mudi?
Hiyo 51% mpaka sasa Simba wameweka shilingi ngapi? .....tuanzie hapo...
 
Umeelewa lakini sababu zilizopelekea kuachia ngazi nafasi hiyo.Au tu umeona heading ukarukia kucomment[emoji3][emoji3]
Nyie ndio types ya watu ambao kama parasite AU VIRUS wa mpira wa Tanzania hamjui chochote na hamjui hata Maudhui ya muandishi mnakuwa carried away na chuki kwasababu tu unampenda mtu fulani basi.
 
Hiyo 51% mpaka sasa Simba wameweka shilingi ngapi? .....tuanzie hapo...
Mark Zuckerberg aliweka dola million ngapi wakati Venture Capitalists wanatia mpunga wa haja pale The Facebook?!

Jibu hapo kwanza....
 
Ila boss Wang huyu nae anapenda ku trend Hiv kwa situations club inavopitia alafu anakuja kusepa upuuz huu inawezakana n kweli ameona ametingwa na majukumu yake pia ishuu ya FCC kwa kuondoa tension kwa nn asinge step kimya kimya tu
ange step kimya kimya ungejuaje ka MO29 inahusiana na kujiuzulu kwake ila wana Simba waikumbuke tareh 29 . Save the date 29 september.
 
Mark Zuckerberg aliweka dola million ngapi wakati Venture Capitalists wanatia mpunga wa haja pale The Facebook?!

Jibu hapo kwanza....
Ndio tatizo la Watanzania wengi.......unamuuliza swali..badala ya kujibu...na yeye anauliza swali...... 😀
 
Electronic na Football....which is which...... ongelea uwekezaji kwenye mpira wa miguu...
Uwekezaji ni uwekezaji tu...

Naona unakwepa kujibu kwa sababu inaonesha jibu lake unalijua...

Acha janja janja ya Mwamedi bhana, hebu jibu hilo swali ili logic yake tuihamishie kwa Makolo FC!
 
Uwekezaji ni uwekezaji tu...

Naona unakwepa kujibu kwa sababu inaonesha jibu lake unalijua...

Acha janja janja ya Mwamedi bhana, hebu jibu hilo swali ili logic yake tuihamishie kwa Makolo FC!
Mdau biashara ya electronics uwezi kulinganisha na biashara ya mpira wa miguu..........(Football), unlesss ulitaka kujionyesha uhalisia wako kwamba wewe ni Utopolo. Unafikiria ndani ya box. Ndio maana hata viongozi wako wanajua umuhimu wa uwekezaji...wapo kwenya mabadiliko. Bila GSM unafikiri mpira utachezwa pale Jangwani? Be serious....
 
Nyie ndio types ya watu ambao kama parasite AU VIRUS wa mpira wa Tanzania hamjui chochote na hamjui hata Maudhui ya muandishi mnakuwa carried away na chuki kwasababu tu unampenda mtu fulani basi.
moo kaacha kuwa mwenyekiti ila bado simba,amesema wakimuitaji atakuwa tayari kushirikiana na try again,sasa moo katoa wapi nguvu ya kumteua try again
 
eti sasa hivi wanasema kaachia ngazi moja uwezi kuwa mwenyekiti bado ukawamwekezaji,ila tatizo linakuja kwanini iwe sasa hivi?kama ndo mabadiliko ya simba mbona moo anasema anawataki kila lakheri uongozi mpya?je moo kajitoa kijanja,alafu anasema safari zitambana kwanini sasa hivi technology imekuwa kuna online conference alishindwa kufanya hivyo?moo mihemuko ndo inamsumbua
 
Yaani mtu ana 49% shares ambazo wala hatuna uhakika kama amelipia, halafu bado anakuwa na nguvu za kumteua Mwenyekiti, let alone CEO!!

Ama kweli wajinga ndo waliwao....

Sema aache fix bhana!!! Yaani "atoe" 20B halafu aache nafasi ya uenyekiti kwa Non-MO?!

Mi nabisha...

Halafu nimekumbuka...

From nowhere, Mudi akamteua mdogo wake Fatema kuwa Mlezi wa Simba Queen...

Ndani ya muda mfupi, tunaambiwa Fatema anafanikisha Simba Queen kupatiwa basi dogo na Africareer!

Miezi kadhaa baadae, anafanya mambo makubwa zaidi kwa kufanikisha deal la mabasi makubwa matatu pale Simba!!

Siku kadhaa baadae, Mudi anaachia ngazi Uenyekiti na kumteua makamu wake kuwa ndie mwenyekiti!!

Eti ndugu mabibi na mabwana, hivi kuna mtu mwenye shaka shaka juu ya uwezo mkubwa wa Fatema Dewji ambae ndani ya muda mfupi tu amefanikisha mkataba wa 800M sio kwa Simba Queen anayoilea tu bali kwa Simba YOTE!!!

Tuifanye sub ya Barbara kwenda kwenye bodi, halafu Fatema awe CEO, au Barbara abaki pale pale alipo, na baadae Fatema tumpeleke akaongoze bodi baada ya kupata mafanikio makubwa pale Simba Queen?!

Lakini inawezekana vipi tumwache Mudi aende kirahisi rahisi hivi?!
Au tuanzishe Mo Simba Investments ambayo CEO awe Mudi?
Kama hatujui baadhi ya mambo tuache kuongea.

Kwa Sheria za FCC huwezi kuwa mwekezaji halafu hapo hapo ukawa kiongozi. Hii Ina maana kwamba Simba iko ktk hatua za mwisho za mabadiliko.

Mo amejiuzulu kwa mujibu wa sheria za FCC. Lakini bado Ni mwekezaji, na mdhamini wa timu.

Inawezekana vipi Simba yote, Time ya Ushindani iungane na Mo kudanganya kwamba ameweka hela wakati hajaweka. Huwezi kumwambia mtu mwenye akili au alieenda shule akakuelewa. Mnaongea km watoto wadogo.

Mo kuweka hela za uwekezaji ni takwa la kisheria kwa mujibu wa FCC si swala la blah blah mnazopiga humu.
 
moo kaacha kuwa mwenyekiti ila bado simba,amesema wakimuitaji atakuwa tayari kushirikiana na try again,sasa moo katoa wapi nguvu ya kumteua try again
Wewe wapi umeona kwamba yeye ndiye aliye mteuwa mwenyekiti ? Tunajua BOARD YA SIMBA ndio iliye kaa kikao na kutoka na uwamuzi huo wa kumpendekeza mwenyekiti mpya ndugu Salim sasa wewe umetoa wapi ya kusema yeye ndiye kampteuwa wachane UNAFIKI NAFIKI na hili ndio tatizo kubwa la WATANZANIA.
 
Back
Top Bottom