Mohammed Dewji vs S.S Bakhressa

Hebu rudia kuhusu GSM tafadhali sana
 
Usiangalie FAW 500 peke yake
Kuna Amana bank
Malls Msasani, Dubai, na nchi nyingine nyingi tu
Kuna cement plants
Magodoro
Mabati
Pikipiki assembly line
Shipping co
Etc etc
sikuwahi isikia GSM mwaka 2014-2015.kinachoningaza zaidi ni utajiri wao wa mda mfupi halafu wana orodha kibao ya vitega uchumi.would like to know the secret behind the short period of their success.
 
Kutajwa huko forbes inabidi kulipia na kujaza ma form ya kujifagilia. Dewji ni bishoo anayo time hio...atajaza kila mahali na kuhudhuria kila mkutano feki ya kutoa medali feki juu ya biashara na utajiri.
Ukiangalia bidhaa zake nyingi zinatoka iran na malaysia. Sabuni
Pasta zote zinatoka iran ila huandikwa MO.
Bakhressa hana time ya kujaza jaza mifomu ya kitapeli...waswahili wana sema chema chajiuza wenyewe...
Huu ubishoo wa dewji umezidi baba ake ndo kinara wa kila kitu.. huyu kakaa kimyaa
Mo insuarance ndo ya mwisho hapa Tanzania.
 
Ni kweli Dewji ana pesa... Mtu anaye invest kwenye energy, steel, real estate na viwanda lazima amkimbize muuza Nazi , maandazi, ice cream etc.
Dewji anauwezo.
Dewji hana investment yoyote ya energy na real estate.
viwanda vyake ni vya mafutta ya kula na maji na juice.
bidhaa nyengine anazi park nje iran na kuzileta Tz ..
bakhressa amejikita katika usafiri wa meli
chakula
na mambo mengi
 
Wadau kuna tetesi Yale malori ya Mo yaliyopigwa moto na waasi kule Kongo ni kwa sababu ya chuki za kibiashara .....? Mo namkubali sana huyo jamaa alivyofanya ubunifu kwenye biashara ya maji ya chupa nilimpigia saluti...very creative
Yale malori ni ya Azim dewji...hawana uhusiano na MO
 
sikuwahi isikia GSM mwaka 2014-2015.kinachoningaza zaidi ni utajiri wao wa mda mfupi halafu wana orodha kibao ya vitega uchumi.would like to know the secret behind the short period of their success.
sio short period kivile,wenzenu wanatafuta noti tangu miaka ya 50,
sema sasa GSM ndo wanaingia kwenye manufacturing,
bado ni wachanga kulinganisha na bakheresa au MO
 
sio short period kivile,wenzenu wanatafuta noti tangu miaka ya 50,
sema sasa GSM ndo wanaingia kwenye manufacturing,
bado ni wachanga kulinganisha na bakheresa au MO
basi sawa
 
kitu ambcho mnatakiwa kujua... GSM sio kampuni mpya.... ila ni ile ile ya watu wa Home shopping center.... baada ya kuona mamb hayaelewek huku (Home shopping center) nd wakaamua kufnya partnership na kampun kubwa dunian ya GSM.. ila wamilik ni wal wale waaarabu wa Home shopping centre.
 
MO moja kati ya biashara yake kubwa ni exporter wa ufuta; kama mjuavyo tz ndo inaongoza kwa kuuza ufuta nje barani Africa na ya tatu dunian basi hyo biashara ni ya MO. Hapo kibongo bongo hatuwezi ona muzunguko wake ila jamaa anahesabu dollars
 
MOO ANA ZAIDI YA VIWANDA 42 VINAVYOZALISHA BIDHAA TOFAUTI,, SO HAPO MUNAWEZA KUKOMPEA NA BAKHRESA.........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…