wanaumewaisaka
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 366
- 178
Mengine mnatudanganya tu huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu rudia kuhusu GSM tafadhali sanahalafu cha ajabu,wakati SSB amepambana kwa zaidi ya miaka 40 kufika hapo alipo na MO naye amerithi biashara ya baba ambaye alianza kupambana tangu miaka ya 70,GSM wao wamekuwa mabilionea ndani ya miezi michache tu baada ya JPM kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha tawala.
hapo ndio utajua watu na bahati zao.
sikuwahi isikia GSM mwaka 2014-2015.kinachoningaza zaidi ni utajiri wao wa mda mfupi halafu wana orodha kibao ya vitega uchumi.would like to know the secret behind the short period of their success.Usiangalie FAW 500 peke yake
Kuna Amana bank
Malls Msasani, Dubai, na nchi nyingine nyingi tu
Kuna cement plants
Magodoro
Mabati
Pikipiki assembly line
Shipping co
Etc etc
Dewji hana investment yoyote ya energy na real estate.Ni kweli Dewji ana pesa... Mtu anaye invest kwenye energy, steel, real estate na viwanda lazima amkimbize muuza Nazi , maandazi, ice cream etc.
Dewji anauwezo.
Yale malori ni ya Azim dewji...hawana uhusiano na MOWadau kuna tetesi Yale malori ya Mo yaliyopigwa moto na waasi kule Kongo ni kwa sababu ya chuki za kibiashara .....? Mo namkubali sana huyo jamaa alivyofanya ubunifu kwenye biashara ya maji ya chupa nilimpigia saluti...very creative
Call me mwengne.....naamini one day watoto wenu au wajukuu zenu watakuja kunifungulia uzi kama huu wakinishindanisha na mwengne.....
sio short period kivile,wenzenu wanatafuta noti tangu miaka ya 50,sikuwahi isikia GSM mwaka 2014-2015.kinachoningaza zaidi ni utajiri wao wa mda mfupi halafu wana orodha kibao ya vitega uchumi.would like to know the secret behind the short period of their success.
Ndio hivo kama ulivonisoma...au nimepotosha?Hebu rudia kuhusu GSM tafadhali sana
Kumbe wewe ndio msemaji wa MO?Una uhakika ama unahisi??? Mo lorry zake hazijachomwa moto.
Na hata ka zimechomwa malorry na mabasi yana insurance so hakuna tabu apo
basi sawasio short period kivile,wenzenu wanatafuta noti tangu miaka ya 50,
sema sasa GSM ndo wanaingia kwenye manufacturing,
bado ni wachanga kulinganisha na bakheresa au MO
hahaha sawa mkuu! watakuja kutulinganisha hawa jamaa! ila mm ntakuwa juu yako! muhimu kukomaa!Call me mwengne.....
Baadhi ya kampuni zake zili-file bankruptcy!!!Nasikia wote hawa ni chamtoto kwa GSM Group?
MOO ANA ZAIDI YA VIWANDA 42 VINAVYOZALISHA BIDHAA TOFAUTI,, SO HAPO MUNAWEZA KUKOMPEA NA BAKHRESA.........................habari za mida wakuu
kama kichwa cha habari kinavyosema. nimekua nikifatilia habari za watuwengi waliofanikia na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje.
kutoka katika takwimu za forbes za mwaka 2016, tajiri namba moja africa na tanzania na ambaye ni kijana zaidi ni Mohammed Dewji akiwa na thamani ya dola za marekani bilioni 1.3 huku mzee Bakhressa akiwa tajiri wa tatu tanzania akiwa na thamani ya dola za marekani 575.
kwa macho ya kawaida bidhaa za bakhressa zimetapakaa afrika mashariki yote na zinatumika kwa wingi zaidi hasa tanzania huku dewji bidhaa zake sio zilizokua sikoni kwa wingi
hili limekua likinipa wakati mgumu kukubaliana na taarifa ya jarida hili. labda sifahamu vyanzo vyao vyengine vya mapato au pia sifahamu vigezo vya forbes wanavyotumia kupata thamani ya utajiri wa mtu
naomba wajuzi zaidi mnifahamishe
HAPAHAPA TzzzzzzzMOO ANA ZAIDI YA VIWANDA 42 VINAVYOZALISHA BIDHAA TOFAUTI,, SO HAPO MUNAWEZA KUKOMPEA NA BAKHRESA.........................